-
Mashauriano ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani na Ufaransa kuhusu namna ya kulinda mapatano ya JCPOA
Feb 16, 2021 04:23Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani na Ufanrasa jana usiku walifanya mashauriano kuhusu masuala tofauti yakiwemo jinsi ya kulinda mapatano ya nyuklia ya JCPOA na vile vile hali ya msambao wa kasi wa virusi vya corona barani Ulaya.
-
Mashambulio yatokanayo na chuki dhidi ya Uislamu yamekithiri nchini Ujerumani
Feb 09, 2021 02:28Takwimu rasmi zilizotolewa nchini Ujerumani zinaonyesha kuwa, katika mwaka uliopita wa 2020 nchi hiyo ilishuhudia ongezeko kubwa la hujuma na mashambulio dhidi ya Waislamu na taasisi za Kiislamu.
-
Khatibzadeh: Misimamo ya Iran kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA haitabadilika
Dec 07, 2020 08:58Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa,misimamo ya Tehran kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA haitabadilika.
-
Zarif: Nchi za Ulaya ziache kukiuka JCPOA na zisitishe sera haribifu katika eneo
Dec 05, 2020 01:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Jawad Zarif amemjibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Heiko Maas ambaye ametaka mapatano ya nyuklia ya JCPOA yajadiliwe upya.
-
Watu kadhaa watiwa mbaroni Ujerumani kwa kupanga njama za kuwashambulia Waislamu
Nov 14, 2020 08:41Maafisa wa mahakama nchini Ujerumani wametangaza kuwa, watu kadhaa wametiwa mbaroni kwa tuhuma za kupanga mashambulio dhidi ya Waislamu na misikiti katika nchi hiyo ya bara Ulaya.
-
Kansela wa Ujerumani akwepa kulaani vitendo vya kuvunjia heshima matukufu ya Uislamu
Nov 11, 2020 11:13Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amekwepa kulaani hatua na vitendo vya kuvunjia heshima thamani na matukufu ya Uislamu.
-
Lissu aondoka Tanzania kuelekea Ubelgiji akisindikizwa na maafisa wa ubalozi wa Ujerumani
Nov 10, 2020 12:49Tundu Antipas Lissu, aliyegombea urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28 kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameondoka nchini humo kwenda Ubelgiji.
-
Jumatatu tarehe 9 Novemba 2020
Nov 09, 2020 02:27Leo ni Jumatatu tarehe 23 Rabiul Awwal 1442 Hijria sawa na tarehe 9 Novemba mwaka 2020.
-
Rouhani: Uchumi wa Iran umeupiku wa Ujerumani wakati wa corona
Oct 03, 2020 23:52Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema uchumi wa Jamhuri ya Kiislamu katika kipindi hiki cha janga la corona umeupiku ule wa Ujerumani na kusisitiza kuwa, uchumi wa taifa hili utastawi zaidi kufikia Machi mwaka ujao 2021.
-
Urusi yaikosoa Ujerumani kwa kukataa kuipatia rekodi za matibabu za Navalny
Sep 15, 2020 06:28Serikali ya Russia imeikosoa Ujerumani kwa kukataa kuipatia Moscow maelezo ya kimatibabu ya mpinzaji wa Russia, Alexei Navalny ambaye Magharibi inadai amepewa sumu, na badala yake imeipeleka kesi hiyo kwenye Shirika la Kuzuia Silaha za Kemikali (OPCW).