Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ujerumani

  • Jihadul-Islami na HAMAS zalaani hatua ya Ujerumani dhidi ya Hizbullah ya Lebanon

    Jihadul-Islami na HAMAS zalaani hatua ya Ujerumani dhidi ya Hizbullah ya Lebanon

    May 01, 2020 23:00

    Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imelaani hatua ya Ujerumani ya kuiweka Hizbullah ya Lebanon kwenye orodha ya makundi ya kigaidi na kueleza kwamba hatua hiyo inadhihirisha upendeleo na uungaji mkono wa Berlin kwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Jumanne tarehe 14 Aprili 2020

    Jumanne tarehe 14 Aprili 2020

    Apr 13, 2020 21:56

    Leo ni Jumanne tarehe 20 Shaabani 1441 Hijria sawa na Aprili 14 mwaka 2020.

  • Oparesheni ya nyuklia ya siri ya Marekani yafichuliwa katika ardhi ya Ujerumani

    Oparesheni ya nyuklia ya siri ya Marekani yafichuliwa katika ardhi ya Ujerumani

    Apr 12, 2020 03:12

    Vyombo vya habari vimeripoti kufichuliwa oparesheni ya siri ya jeshi la Marekani iliyotekelezwa katika msimu wa mapukutiko mwaka uliopita wa 2019 nchini Ujerumani kwa lengo la kuboresha mabomu yake ya nyuklia 20.

  • Wasi wasi wa Umoja wa Ulaya kuhusu kuendelea mapigano nchini Yemen, undumakuwili wa EU

    Wasi wasi wa Umoja wa Ulaya kuhusu kuendelea mapigano nchini Yemen, undumakuwili wa EU

    Apr 01, 2020 05:11

    Tangu mwezi Machi 2015, Saudi Arabia iliunda muungano kwa kushirikiana na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kuanzisha vita vya kidhalimu dhidi ya watu wa Yemen na hadi sasa makumi ya maelfu ya raia wa nchi hiyo wameshauawa shahidi na kujeruhiwa.

  • Corona yawaelemea Wazayuni, waomba msaada kwa Ujerumani, wakataliwa

    Corona yawaelemea Wazayuni, waomba msaada kwa Ujerumani, wakataliwa

    Mar 29, 2020 21:56

    Baada ya wimbi la maambukizi ya corona kuukumba utawala wa Kizayuni wa Israel, viongozi wa utawala huo ghasibu wamekuwa wakihaha kutafuta msaada kila sehemu ikiwemo Ujerumani ambako Kansela wa nchi hiyo Angela Merkel amekataa kuisaidia Israel akisisitiza kuwa Ujerumani yenyewe ina upungufu wa vifaa.

  • Merkel: 60% hadi 70% ya Wajerumani huenda wakakumbwa na Corona

    Merkel: 60% hadi 70% ya Wajerumani huenda wakakumbwa na Corona

    Mar 11, 2020 03:47

    Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel amesema yumkini asilimia 60 hadi 70 ya jamii ya nchi hiyo ya Ulaya itaambukizwa virusi vya Corona.

  • Theluthi mbili ya Wajerumani hawataki Angela Merkel awanie tena Ukansela

    Theluthi mbili ya Wajerumani hawataki Angela Merkel awanie tena Ukansela

    Feb 23, 2020 03:45

    Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa nchini Ujerumani yanaonyesha kuwa theluthi mbili ya Wajerumani hawataki Kansela wa nchi hiyo Bi Angela Merkel awanie tena wadhifa huo.

  • Ujerumani yaitaka Saudi Arabia ichunge haki za binadamu

    Ujerumani yaitaka Saudi Arabia ichunge haki za binadamu

    Feb 22, 2020 03:50

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amewataka viongozi wa Saudi Arabia wafanyie marekebisho sheria zao na wachunge haki za binadamu.

  • Wajerumani waandamana kupinga mashambulizi ya kibaguzi ya Hanau, ulinzi wazidishwa kwenye misikiti

    Wajerumani waandamana kupinga mashambulizi ya kibaguzi ya Hanau, ulinzi wazidishwa kwenye misikiti

    Feb 22, 2020 00:11

    Maelfu ya Wajerumani wamefanya maandamano katika miji kadhaa ya nchi hiyo wakilaani mashambulizi ya kibaguzi yaliyotokea katika eneo la Hanau lililoko karibu ya mji wa Frankfurt.

  • Watu tisa wapigwa risasi na kuuawa katika hujuma ya kigaidi Ujerumani

    Watu tisa wapigwa risasi na kuuawa katika hujuma ya kigaidi Ujerumani

    Feb 20, 2020 08:42

    Watu tisa wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi mjini Hanau magharibi mwa Ujerumani iliyotokea Jumatano usiku.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS