Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ujerumani

  • Mkutano wa Usalama wa Munich waanza ukiwa umegubikwa na ukosefu wa usalama ulimwenguni

    Mkutano wa Usalama wa Munich waanza ukiwa umegubikwa na ukosefu wa usalama ulimwenguni

    Feb 15, 2020 00:44

    Mkutano wa Usalama wa Munich "Munich Security Conference" (MSC) ulianza jana Ijuumaa nchini Ujerumani ambapo takribani viongozi 35 wa mataifa ya dunia na karibu Mawaziri 100 wa Mashauri ya Kigeni wanashihiriki mkutano huo.

  • Ujerumani yafuata nyendo za Marekani katika hatua za kigaidi dhidi ya Uislamu

    Ujerumani yafuata nyendo za Marekani katika hatua za kigaidi dhidi ya Uislamu

    Jan 27, 2020 00:57

    Serikali ya Ujerumani imeifuata nyendo za kigaidi za serikali ya Marekani kwa kufunga kituo cha Kiislamu cha mjini Hamburg ambacho kiliendesha marasimu ya kumuenzi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC.

  • Ujerumani yatahadharisha kuhusu kuanza tena mashambulizi ya kundi la Daesh

    Ujerumani yatahadharisha kuhusu kuanza tena mashambulizi ya kundi la Daesh

    Jan 24, 2020 23:43

    Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani ametahadharisha kuwa, kuna uwezekano kundi la kigaidi la Daesh likaanza tena kutekeleza vitendo vyake vya kigaidi.

  • Ujerumani: Wasioheshimu usimamishaji vita Libya wasusiwe

    Ujerumani: Wasioheshimu usimamishaji vita Libya wasusiwe

    Jan 24, 2020 02:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumaini amesema katika kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi zinazopakana na Libya huko Algiers, mji mkuu wa Algeria kwamba, wale wote wasioheshimu usitishaji vita nchini Libya inabidi wawekewe vikwazo za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Ulaya yapinga ombi la Trump la kujiondoa JCPOA

    Ulaya yapinga ombi la Trump la kujiondoa JCPOA

    Jan 11, 2020 01:21

    Umoja wa Ulaya sambamba na nchi tatu za Ulaya za Ufaransa, Ujerumani na Uingereza zinazojulikana kama Troika ya Ulaya, ni waungaji mkono wa mapatano ya kimataifa ya nyuklia maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.

  • Ripoti: Idadi ya watu waliofariki dunia kwa Ebola DRC imefikia 2,231

    Ripoti: Idadi ya watu waliofariki dunia kwa Ebola DRC imefikia 2,231

    Dec 30, 2019 03:59

    Idadi ya watu waliofariki dunia kwa maradhi ya Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeongezeka na kufikia 2,231.

  • Ujerumani yaituhumu harakati ya muqawama ya Lebanon

    Ujerumani yaituhumu harakati ya muqawama ya Lebanon

    Dec 19, 2019 21:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani sambamba na siasa za White House ametoa matamshi yasiyo na msingi wowote dhidi ya Hizbullah na kuituhumu harakati hiyo ya muqawama ya Lebanon kuwa ni ya kigaidi.

  • Kushtakiwa Ujerumani katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kwa kuiuzia silaha Saudia

    Kushtakiwa Ujerumani katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kwa kuiuzia silaha Saudia

    Dec 18, 2019 23:01

    Kuendelea vita vya Yemen na kuuawa maelfu ya raia wa nchi hiyo katika vita hivyo, kumezipelekea baadhi ya asasi na mashirika ya haki za binaadamu kukosoa vikali siasa mbovu na hatua za nchi za Ulaya ikiwemo ya kuuzia silaha muungano vamizi wa Saudia unaoongoza vita hivyo dhidi ya Yemen.

  • Nchi za Magharibi zinatumia vibaya suala la haki za binadamu kwa kisingizio cha kutetea watu

    Nchi za Magharibi zinatumia vibaya suala la haki za binadamu kwa kisingizio cha kutetea watu

    Dec 13, 2019 23:32

    Abbas Musawi, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amelaani msimamo wa hivi karibuni wa Heiko Maas, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani wa kutumia kisiasa matukio na ghasia za hivi karibuni nchini Iran.

  • Mousavi: Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani yanangilia mambo ya ndani ya Iran

    Mousavi: Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani yanangilia mambo ya ndani ya Iran

    Dec 13, 2019 09:21

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imejibu matamshi yaliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani akisema kuwa matamshi kama hayo yanayoingilia masuala ya ndani ya Iran hayaweza kuficha makosa ya baadhi ya nchi za Ulaya ya kutotekeleza majukumu yao katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na misimamo yao isiyo sawa kuhusiana na ugaidi wa kiuchumi wa Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS