• Watu wenye chuki watishia kulipua  kwa bomu msikiti mjini Berlin, Ujerumani

    Watu wenye chuki watishia kulipua kwa bomu msikiti mjini Berlin, Ujerumani

    Nov 26, 2019 01:09

    Viongozi wa msikiti wa Sehitlik mjini Berlin, mji mkuu wa Ujerumani wametangaza kwamba watu wenye chuki dhidi ya dini ya Uislamu miongoni mwa makundi ya mrengo wa kulia na yenye misimamo ya kigaidi, wametishia kulipua kwa bomu msikiti huo.

  • Indhari ya Mshauri wa Usalama wa Taifa Marekani kuhusu kusambaratika NATO

    Indhari ya Mshauri wa Usalama wa Taifa Marekani kuhusu kusambaratika NATO

    Nov 12, 2019 04:27

    Rais Donald Trump wa Marekani ambaye ni maarufu kwa kuibua utata, angali anaendelea kukosoa vikali Muungano wa Kijeshi wa Atlantiki ya Kaskazini (NATO) . Trump hasa anawakosoa wanachama wa bara Ulaya katika muungano huo kwa kutotenga asilimia 2 ya Pato la Ndani la Nchi (GDP) kwa ajili ya gharama za kijeshi. Maafisa wa ngazi za juu wa Marekani nao sasa pia wanafuata nyayo za Trump katika kuukosoa muungano wa kijeshi wa NATO.

  • Rais wa Ujerumani akosoa sera za kijuba za Marekani

    Rais wa Ujerumani akosoa sera za kijuba za Marekani

    Nov 11, 2019 03:35

    Siasa za kijuba na misimamo inayokiuka sheria za kimataifa ya Marekani imekuwa ikipingwa na kukosolewa na nchi nyingi duniani na hata washirika wa nchi hiyo barani Ulaya.

  • Jumamosi, 9 Novemba, 2019

    Jumamosi, 9 Novemba, 2019

    Nov 08, 2019 23:45

    Leo ni Jumamosi tarehe 11 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1441 Hijria mwafaka na tarehe 9 Novemba 2019 Miladia.

  • Taarifa ya pamoja ya Kansela wa Ujerumani na Waziri Mkuu wa India kuhusu makubaliano ya JCPOA

    Taarifa ya pamoja ya Kansela wa Ujerumani na Waziri Mkuu wa India kuhusu makubaliano ya JCPOA

    Nov 03, 2019 04:21

    Makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ambayo yalikuwa natija ya juhudi za kidiplomasia na mazungumzo ya awamu kadhaa kati ya Iran na kundi la 5+1; hivi sasa yanakabiliwa na hatari kubwa kufuatia hatua ya Marekani ya kujitoa kwenye makubaliano hayo na kutotekeleza ahadi nchi za Ulaya; hatua iliyokabiliwa na radiamali kali ya Iran ambayo pia imeamua kupunguza hatua kwa hatua uwajibikaji wake ndani ya makubaliano hayo.

  • Alkhamisi, tarehe 3 Oktoba, 2019

    Alkhamisi, tarehe 3 Oktoba, 2019

    Oct 03, 2019 00:42

    Leo ni Alkhamisi tarehe 4 Safar 1441 Hijria sawa na Oktoba 3 mwaka 2019.

  • Ujerumani: Hatukubali kufanywa wenzo wa kutekeleza siasa za Marekani dhidi ya Iran

    Ujerumani: Hatukubali kufanywa wenzo wa kutekeleza siasa za Marekani dhidi ya Iran

    Sep 25, 2019 04:18

    Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani sambamba na kuashiria kuwa nchi yake ni nchi huru inayojiamulia yenyewe mambo yake amesema kuwa, Berlin haiko tayari kuwa sehemu ya wenzo wa Marekani ya kutekeleza siasa zake za vikwazo vya kiwango cha juu kupindukia dhidi ya Iran.

  • Ujerumani yarefusha kwa miezi sita mingine marufuku ya silaha kwa Saudia

    Ujerumani yarefusha kwa miezi sita mingine marufuku ya silaha kwa Saudia

    Sep 19, 2019 02:42

    Serikali ya Angela Merkel imeongeza kwa miezi mingine sita marufuku ya silaha zote za Ujerumani inazoziuzia Saudi Arabia licha ya miito inayotaka kulegezwa marufuku hiyo.

  • 'Kushambuliwa vituo vya mafuta vya Saudia, kunabainisha udhaifu na kushindwa kwa Riyadh'

    'Kushambuliwa vituo vya mafuta vya Saudia, kunabainisha udhaifu na kushindwa kwa Riyadh'

    Sep 17, 2019 07:55

    Mtaalamu na mchambuzi wa masuala ya Magharibi mwa Asia amekadhibisha madai yaliyotolewa kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imehusika katika shambulizi dhidi ya taasisi za mafuta za Saudi Arabia na kusema kuwa, shambulizi hilo kwenye taasisi hizo limeonyesha udhaifu na kushindwa kwa Wasaudi.

  • Mtazamo unaogongana wa Ulaya kuhusiana na JCPOA

    Mtazamo unaogongana wa Ulaya kuhusiana na JCPOA

    Sep 10, 2019 02:44

    Licha ya kuwa Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya ( Ujerumani, Ufaransa na Uingrereza) zikiwa wanachama wa kundi la 4+1 zimekuwa zikisisitiza mara kwa mara udharura wa kulindwa mapatano ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), lakini hazijaweza kuwasilisha rekodi nzuri ya utendaji wao katika uwanja huo.