Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ujerumani

  • Jumanne tarehe 30 Julai mwaka 2019

    Jumanne tarehe 30 Julai mwaka 2019

    Jul 29, 2019 21:56

    Leo ni Jumanne tarehe 27 Dhulqaada 1440 Hijria inayosadifiana na Julai 30 mwaka 2019.

  • Heiko Maas asisitiza udharura wa kufanya mazungumzo na Iran

    Heiko Maas asisitiza udharura wa kufanya mazungumzo na Iran

    Jul 27, 2019 02:32

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesisitiza kuwa kuna udharura wa kufanya mazungumzo na Iran. Maas ameyasema hayo katika mazungumzo kwa njia ya simu na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani Mike Pompeo.

  • Ujerumani yahimiza kuundwa umoja wa nchi za Ulaya wa kuwaokoa wakimbizi

    Ujerumani yahimiza kuundwa umoja wa nchi za Ulaya wa kuwaokoa wakimbizi

    Jul 13, 2019 21:51

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumaini amesema kuwa kuna ulazima wa kuundwa umoja wa nchi za Ulaya kwa ajili ya kuwaokoa wakimbizi na kutoa mchango wa kimsingi Berlin katika jukumu hilo.

  • Kansela wa Ujerumani asisitizia ulazima wa kuacha kuiuzia silaha Libya

    Kansela wa Ujerumani asisitizia ulazima wa kuacha kuiuzia silaha Libya

    Jul 10, 2019 23:31

    Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesisitiza kupatikana njia ya kidiplomasia kwa ajili ya kuutatua mgogoro wa Libya na kuitolea wito jamii ya kimataifa kuacha kuiuzia silaha nchi hiyo.

  • Ujerumani yakataa ombi la Marekani la kutuma askari Syria

    Ujerumani yakataa ombi la Marekani la kutuma askari Syria

    Jul 09, 2019 03:48

    Rais Donald Trump wa Marekani Disemba mwaka 2018 aliwaahidi Wamarekani kwamba ataliondoa jeshi la nchi hiyo huko Syria. Trump alitoa ahadi hiyo katika kile kinachoaminika kuwa ni sehemu ya kutekeleza kampeni yakee ya kubakia ikulu ya White House.

  • Kansela wa zamani wa Ujerumani akosoa vikali siasa za uharibifu za Trump

    Kansela wa zamani wa Ujerumani akosoa vikali siasa za uharibifu za Trump

    Jul 07, 2019 02:55

    Kansela wa zamani wa Ujerumani amekosoa siasa zinazotekelezwa na Rais wa Marekani na kuituhumu Washington kuwa inafanya juhudi za kusambaratisha mfumo wa uchumi duniani.

  • Wanaharakati wa Ujerumani wamkumbuka

    Wanaharakati wa Ujerumani wamkumbuka "Shahidi wa Hijabu" Marwa el Sherbini

    Jul 06, 2019 22:32

    Wanaharakati wa Ujerumani leo Jumapili wanahitimisha warsha zilizoanza Jumatatu iliyopita za kukumbuka mauaji ya mwanamke Mwislamu, Marwa el-Sherbini aliyeuawa kwa kudungwa kisu mara kadhaa ndani ya ukumbi wa mahakama ya mji wa Dresden nchini Ujerumani.

  • Ukandamizaji dhidi ya watoto Ujerumani, zaidi ya 130 wauawa

    Ukandamizaji dhidi ya watoto Ujerumani, zaidi ya 130 wauawa

    Jul 04, 2019 21:53

    Idara ya masuala ya jinai nchini Ujerumani imetangaza kwamba, zaidi ya watoto 130 wameuawa kutokana na ukatili wa ndani ya familia nchini humo.

  • Rais Rouhani: Kamwe Iran haitotumbukia katika mkwamo kwa sababu ya mashinikizo

    Rais Rouhani: Kamwe Iran haitotumbukia katika mkwamo kwa sababu ya mashinikizo

    Jun 10, 2019 12:49

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kuashiria kwamba hatua ya Marekani ya kujiondoa katika matapatano ya nyuklia ya JCPOA haikuwa na matokeo mengine ghairi ya taathira hasi kwenye mahusiano na usalama wa nchi za eneo, amesisitiza kwamba kamwe nchi hii haitotumbukia kwenye mkwamo kupitia mashhinikizo.

  • Iran iko tayari kufanya mazungumzo na nchi za Ghuba ya Uajemi

    Iran iko tayari kufanya mazungumzo na nchi za Ghuba ya Uajemi

    Jun 10, 2019 07:00

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kufanya mazungumzo na kila moja ya nchi za Kiarabu za ukanda wa Ghuba ya Uajemi kuhusu masuala ya pande mbili na kieneo."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS