-
Madai ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumaini kuhusu JCPOA
May 27, 2019 22:42Umoja wa Ulaya na troika ya umoja huo inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Uingereza daima imekuwa ikidai kuwa inaunga mkono mapatano ya nyuklia na Iran maarufu kwa jina la JCPOA na kwmba nchi hizo zimekuwa zikisisitizia muda wote umuhimu wa kutekelezwa kivitendo mapatano hayo.
-
Sisitizo la viongozi wa Russia, Ujerumani na Ufaransa la kulindwa mapatano ya JCPOA
May 22, 2019 05:18Mapatano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina la JCPOA yalifikiwa mwezi Julai 2015 mjini Vienna Austria baina ya Iran na kundi la 5+1 lililojumuisha nchi za Marekani, Uingereza, Ufaransa, Russia, China pamoja na Ujerumani na Umoja wa Ulaya. Mapatano hayo yalianza kutekelezwa mwezi Januari 2016.
-
Russia, Ujerumani na Ufaransa zasisitiza kuwa JCPOA lazima ilindwe
May 22, 2019 03:46Viongozi wa Russia, Ujerumani na Ufaransa wamesisitizia haja ya kubakishwa hai na kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, huku wakibainisha kuwa nchi zao zinafanya kila linalowezekana kuimarisha uhusiano wao wa kibiashara na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, licha ya Marekani kuchukua hatua ya upande mmoja ya kujiondoa kwenye mapatano hayo ya kimataifa.
-
Ukosoaji wa Jumuiya ya Kiarabu (Arab League) dhidi ya uamuzi wa Ujerumani kuhusu BDS
May 21, 2019 00:12Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) imeukosoa uamuzi wa serikali ya Ujerumani wa kupiga marufuku nchini humo shughuli za Harakati ya Kimataifa ya Kuususia Utawala haramu wa Israel BDS na kusema kuwa uamuzi huo si wa kisheria.
-
Sisitizo la Ujerumani la kutokuwa na natija siasa za "mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi" za Donald Trump dhidi ya Iran
May 19, 2019 02:34Rais Donald Trump wa Marekani iwe ni katika kipindi cha kampeni zake za uchaguzi au baada ya kuingia katika ikulu ya White House Januari 2017, ametanguliza mbele mkondo wa siasa za kutaka kuudhoofisha na kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kwa mara nyingine EU yapinga siasa za Marekani kuhusu Iran
May 18, 2019 20:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani kwa mara nyingine amesisitiza kuwa Umoja wa Ulaya unapinga siasa za Marekani dhidi ya Iran na kusema kuwa siasa hizo za kiuadui hazisaidii chochote.
-
China, Russia, Ufaransa na Ujerumani zatoa radiamali zao kufuatia tangazo la Iran
May 08, 2019 09:20Russia, China, Ufaransa na Ujerumani ambazo ni katika nchi tano zilizosalia katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA zimetoa radimali kufuatia uamuzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kusimamisha kwa muda utekelezaji wa baadhi ya ahadi zake kuhusu mapatano hayo, ikiwa ni mwaka mmoja baada ya Marekani kujitoa kwa upande mmoja katika mapatano hayo muhimu ya kimataifa.
-
Jumatano, tarehe 17 Aprili, 2019
Apr 17, 2019 06:40Leo ni Jumatano tarehe 11 Sha'aban 1440, Hijiria, sawa na tarehe 17 Aprili 2019 Miladia.
-
Ndege ya misaada ya kibinadamu ya Ujerumani yawasili nchini Iran
Apr 05, 2019 02:51Balozi wa Ujerumaini nchini Iran ametangaza habari ya kuwasili ndege ya nchi hiyo yenye misaada ya kibinadamu kwa ajili ya wahanga wa mafuriko nchini Iran.
-
Naibu Spika wa Ujerumani ataka balozi wa Marekani nchini humo afukuzwe
Mar 19, 2019 23:02Naibu Spika wa Bunge la Ujerumani ametoa mwito wa kutimuliwa nchini humo balozi wa Marekani kutokana na kile alichokitaja kuwa uingiliaji wake wa masuala ya ndani ya nchi hiyo ya Ulaya.