-
Rais wa Ufaransa ataka ushirikiano na Ujerumani kuzuia ghasia na machafuko duniani
Nov 20, 2018 07:59Baada ya kuingia madarakani Rais Donald Trump wa Marekani, amekuwa akichukua maamuzi ya upande mmoja bila kuwashauri wenzake, wakiwemo waitifaki, jambo ambalo limepelekea dunia kushuhudia wimbi jipya la migogoro na machafuko katika nyuga mbali mbali.
-
Wasaudia 18 wazuiwa kuingia Ujerumani kwa tuhuma za mauaji ya Khashoggi
Nov 19, 2018 15:40Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani imezuia kuingia nchini humo kundi moja la raia wa Saudi Arabia wanaotuhumiwa kuhusika katika mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi aliyekuwa akiukosoa utawala wa Aal Saud.
-
Ujerumani: Maelezo ya Saudi Arabia kuhusu mauaji ya Khashoggi hayakinaishi
Nov 17, 2018 01:11Serikali ya Ujerumani imetangaza kuwa, maelezo yaliyotolewa na Saudi Arabia kuhusu mauaji ya mkosoaji wa utawala wa nchi hiyo, Jamal Khashoggi hayatoshi.
-
Ujerumani: Uhusiano wa kibiashara na Iran unapaswa kuendelea kuwepo
Nov 06, 2018 04:49Msemaji wa serikali ya Ujerumani amesema kuwa, uhusiano wa kibiashara kati ya nchi hiyo ya bara Ulaya na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unapaswa kuendelea kuwepo.
-
Ujerumani yakosoa uamuzi wa Marekani wa kujitoa katika makubaliano ya INF
Nov 04, 2018 15:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amekosoa uamuzi wa Marekani wa kujitoa katika Makubaliano ya Silaha za Nyuklia za Masafa ya Kati (INF) na kuyataja makubaliano hayo kuwa miongoni mwa mikataba muhimu sana ya kudhibiti silaha za nyuklia.
-
Uingereza, Ujerumani na Ufaransa zatoa taarifa ya pamoja kulaani mauaji ya Khashoggi
Oct 22, 2018 07:39Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Ujerumani na Ufaransa wametoa taarifa ya pamoja na kulaani kuuliwa mwandishi habari mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia.
-
Saudia yazidi kushinikizwa na kususiwa; Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani avunja safari
Oct 18, 2018 03:17Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumaini ya kuitembelea Saudi Arabia imevunjwa baada ya kubainika kuwa Riyadh imeshiriki katika mauaji ya mwandishi wa habari mkosoaji mkubwa wa nchi hiyo, Jamal Khashoggi.
-
Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zataka ufanyike "uchunguzi wa kuaminika" kuhusu mauaji ya Khashoggi
Oct 15, 2018 03:47Mawaziri wa mambo ya nje wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani wametoa taarifa ya pamoja wakiitaka Saudi Arabia na Uturuki zifanye "uchunguzi wa kuaminika" kuhusu kutoweka kwa mwandishi wa habari mkosoaji wa utawala wa Aal Saud.
-
Jumapili, Oktoba 14, 2018 Miladia
Oct 14, 2018 01:07Leo ni Jumapili tarehe 4 Mfunguo Tano Swafar mwaka 1440 Hijiria, inayosadifiana na tarehe 14 Oktoba mwaka 2018 Miladia.
-
Takwa la Ujerumani la kuasisiwa Baraza la Usalama la Umoja wa Ulaya
Oct 10, 2018 07:59Kuibuka hitilafu na mizozo mikubwa baina ya Marekani na Umoja wa Ulaya baada ya kuingia madarakani Rais Donald Trump hususan katika masuala ya kiulinzi, nafasi na umuhimu wa Shirika la Kijeshi la NATO sambamba na kujitoa Uingereza katika Umoja wa Ulaya (Brics) ni mambo ambayo yamezifanya nchi wanachama wa EU zichukue hatua za kuimarisha mipango na mikakati ya kujitegemea katika uga wa ulinzi na usalama.