-
Kanani Chafi: Iran haimuombi yoyote ruhusa katika kupambana na ugaidi
Apr 28, 2023 07:08Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu matamshi ya uingiliaji kati ya viongozi wa Ujerumani kuhusu hukumu iliyotolewa hapa nchini dhidi ya kiongozi wa kundi la kigaidi la "Tondar" na kueleza kuwa: Iran haitamuomba yoyote ruhusa katika mapambano yake dhidi ya ugaidi na kutekeleza uadilifu dhidi ya magaidi.
-
Mbunge wa Ujerumani ataka kufukuzwa nchini humo jeshi la US
Apr 03, 2023 08:26Mbunge mmoja wa Ujerumani ametoa mito wa kufukuzwa nchini humo vikosi vya jeshi la Marekani ambavyo vimekuwepo nchini humo kwa karibu miongo minane.
-
China yalalamikia safari za maafisa wa Ujerumani na Uingereza huko Taiwan
Mar 23, 2023 06:56Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya China imelalamikia vikali safari ya Bettina Stark-Wattsinger, Waziri wa Elimu wa Ujerumani katika Kisiwa cha Taiwan na kusisitiza kuwa inapinga safari rasmi ya waziri huyo katika kisiwa hicho kinachomilikiwa na serikali ya Beijing.
-
Kan'ani: Ujerumani iombe radhi kwa jinai zake dhidi ya Iraq, Iran
Mar 08, 2023 10:08Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani matamshi yaliyotolewa na Annalena Baerbock, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu katika safari yake ya hivi karibuni nchini Iraq.
-
Hali mbaya ya haki za wanawake katika nchi za Magharibi na madai ya uongo ya nchi hizo dhidi ya Iran
Mar 08, 2023 08:13Kwa mtazamamo wa harakaharaka, hali ya wanawake katika nchi za Magharibi zinazodai kutetea haki za wanawake inaonyesha kuwa wanawake na wasichana katika nchi hizo wanakabiliwa na hali mbaya sana ambapo haki zao za kibinadamu zinapuuzwa na kukiukwa wazi wazi.
-
Ujerumani: Hatuna misingi ya sheria ya kuiweka IRGC katika orodha ya ugaidi
Feb 21, 2023 07:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani ameashiria hatua ya Bunge la Ulaya ya kupiga kura ya kuongeza Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) katika orodha ya makundi ya 'kigaidi' ya Umoja wa Ulaya na kusisitiza kuwa, hakuna misingi ya sheria ya kuiwepa SEPAH kwenye faharasa hiyo.
-
Ujerumani yakosolewa kwa ujumbe wa Twitter wa kuidhalilisha Afrika
Jan 29, 2023 12:39Viongozi na watumiaji mitandao ya kijamii katika nchi za Afrika wameijia juu Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani kwa kuchapisha ujumbe wa dharau na kulidhalilisha bara hilo.
-
Ripoti: Harakati ya kutetea ushoga iliibua tatizo kubwa ndani ya timu ya taifa ya Ujerumani huko Qatar
Dec 07, 2022 03:12Harakati ya "kuziba midomo" iliyofanywa na wachezaji wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Ujerumani kwenye mechi yao ya ufunguzi katika Kombe la Dunia 2022 huko Qatar dhidi ya Japan, ilisababisha matatizo ndani ya kambi ya timu hiyo, na kuibua tofauti kati ya wachezaji ambao walikataa kushiriki kwenye kampeni ya kutetea ushoga.
-
Ujerumani, mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu katika joho la mtetezi wa haki za binadamu
Nov 27, 2022 02:30Ujerumani, kama mwanachama wa Umoja wa Ulaya, pamoja na Marekani, imechukua mtazamo wa kiadui na kuingilia masuala ya ndani ya Iran wakati wa machafuko na ghasia za hivi karibuni.
-
Namibia yaangusha 'sanamu la ukoloni' mjini Windhoek
Nov 24, 2022 10:21Sanamu la afisa mkoloni wa zamani wa Ujerumani limeondolewa katika mji mkuu wa Namibia, Windhoek kutokana na mashinikizo ya wanaharakati wa nchi hiyo ya Kiafrika.