-
Kan'ani: Ujerumani iombe radhi kwa jinai zake dhidi ya Iraq, Iran
Mar 08, 2023 06:38Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani matamshi yaliyotolewa na Annalena Baerbock, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu katika safari yake ya hivi karibuni nchini Iraq.
-
Hali mbaya ya haki za wanawake katika nchi za Magharibi na madai ya uongo ya nchi hizo dhidi ya Iran
Mar 08, 2023 04:43Kwa mtazamamo wa harakaharaka, hali ya wanawake katika nchi za Magharibi zinazodai kutetea haki za wanawake inaonyesha kuwa wanawake na wasichana katika nchi hizo wanakabiliwa na hali mbaya sana ambapo haki zao za kibinadamu zinapuuzwa na kukiukwa wazi wazi.
-
Ujerumani: Hatuna misingi ya sheria ya kuiweka IRGC katika orodha ya ugaidi
Feb 21, 2023 04:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani ameashiria hatua ya Bunge la Ulaya ya kupiga kura ya kuongeza Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) katika orodha ya makundi ya 'kigaidi' ya Umoja wa Ulaya na kusisitiza kuwa, hakuna misingi ya sheria ya kuiwepa SEPAH kwenye faharasa hiyo.
-
Ujerumani yakosolewa kwa ujumbe wa Twitter wa kuidhalilisha Afrika
Jan 29, 2023 09:09Viongozi na watumiaji mitandao ya kijamii katika nchi za Afrika wameijia juu Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani kwa kuchapisha ujumbe wa dharau na kulidhalilisha bara hilo.
-
Ripoti: Harakati ya kutetea ushoga iliibua tatizo kubwa ndani ya timu ya taifa ya Ujerumani huko Qatar
Dec 06, 2022 23:42Harakati ya "kuziba midomo" iliyofanywa na wachezaji wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Ujerumani kwenye mechi yao ya ufunguzi katika Kombe la Dunia 2022 huko Qatar dhidi ya Japan, ilisababisha matatizo ndani ya kambi ya timu hiyo, na kuibua tofauti kati ya wachezaji ambao walikataa kushiriki kwenye kampeni ya kutetea ushoga.
-
Ujerumani, mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu katika joho la mtetezi wa haki za binadamu
Nov 26, 2022 23:00Ujerumani, kama mwanachama wa Umoja wa Ulaya, pamoja na Marekani, imechukua mtazamo wa kiadui na kuingilia masuala ya ndani ya Iran wakati wa machafuko na ghasia za hivi karibuni.
-
Namibia yaangusha 'sanamu la ukoloni' mjini Windhoek
Nov 24, 2022 06:51Sanamu la afisa mkoloni wa zamani wa Ujerumani limeondolewa katika mji mkuu wa Namibia, Windhoek kutokana na mashinikizo ya wanaharakati wa nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Unafiki wa nchi za Magharibi kuhusu haki za binadamu
Nov 24, 2022 05:29Matukio ya ndani ya miezi miwili iliyopita nchini Iran yamezifanya nchi za Ulaya zichukue hatua za kihasama za kuiwekea vikwazo na kuitishia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mgogoro wa nishati Ulaya, vyuo vikuu vya Ujerumani navyo havikusalaimika
Nov 23, 2022 08:31Mgogoro wa nishati umezidi kuwa mkubwa katika nchi za Ulaya kiasi kwamba vyuo vikuu vya Ujerumani vimelazimika kuweka kwenye ajenda yake ubanaji wa matumizi ya nishati.
-
Jitihada za kufunga kituo cha Kiislamu cha Hamburg, Ujerumani
Nov 12, 2022 08:48Katika juhudi za madola ya Magharibi za kuunga mkono ghasia na machafuko nchini Iran, vyama vya muungano unaotawala nchini Ujerumani vimetoa wito wa kufungwa Kituo cha Kiislamu na Kiutamduni cha Iran katika mji wa Hamburg nchini humo.