• Palestina yaishtaki Israel IAEA kwa kutishia kudondosha bomu la nyuklia Gaza

    Palestina yaishtaki Israel IAEA kwa kutishia kudondosha bomu la nyuklia Gaza

    Nov 09, 2023 23:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina amewasilisha faili mbele ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kulalamikia matamshi ya vitisho ya waziri wa utawala wa Kizayuni kwamba ikilazimu, utawala huo haramu utatumia bomu la nyuklia dhidi ya watu wa Gaza.

  • Netanyahu akataa ombi la Biden la kusitisha mapigano kwa siku 3 huko Gaza

    Netanyahu akataa ombi la Biden la kusitisha mapigano kwa siku 3 huko Gaza

    Nov 08, 2023 22:48

    Rais Joe Biden wa Marekani amemtaka Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa Israel asitishe mapigano kwa siku tatu ili kutatua suala la mateka. Kuhusiana na jambo hilo, Biden amesema katika mazungumzo ya simu yaliyofanyika siku ya Jumanne alimuomba Benjamin Netanyahu asitishe mapigano ili kuandaa uwanja wa kushughulikiwa suala la mateka wa Israel.

  • Marekani na kukana mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza

    Marekani na kukana mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza

    Nov 07, 2023 23:11

    Zaidi ya mwezi mmoja umepita sasa tangu kuanza kwa vita vya Gaza na tangu kutekelezwa kwa operesheni ya "Kimbunga cha Al-Aqsa" huku utawala wa Kizayuni unaoendesha operesheni za ardhini katika Ukanda wa Gaza dhidi ya wapiganaji wa Hamas ukizidisha mashambulizi yake ya anga dhidi ya eneo hilo. Mashambulio hayo ya kinyama ya Israe; yameendelea kusababisha mauaji makubwa ya watu wanaodhulumiwa wa Ukanda wa Gaza.

  • Iran: Vita vya maangamizi ya kizazi vya Israel vimeua, kujeruhi watu 40,000 Gaza

    Iran: Vita vya maangamizi ya kizazi vya Israel vimeua, kujeruhi watu 40,000 Gaza

    Nov 07, 2023 10:19

    Afisa wa ngazi ya juu wa haki za binadamu nchini Iran amesema vita na mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza yamepelekea watu zaidi ya 40,000 kuuawa na kujeruhi.

  • Kuongezeka  upinzani dhidi ya vitendo vya kijinai vya utawala wa Kizayuni katika nchi za Magharibi

    Kuongezeka upinzani dhidi ya vitendo vya kijinai vya utawala wa Kizayuni katika nchi za Magharibi

    Nov 06, 2023 23:01

    Mwezi mmoja ukiwa umepita tangu kujiri operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa na utawala wa Kizayuni kuanzisha mashambulizi makali ya mabomu ambayo hajawahi kushuhudiwa tena huko Ghaza, ambayo yamepelekea kuuawa shahidi na kujeruhiwa makumi ya maelfu ya Wapalestina, wengi wao wakiwa ni watoto na wanawake, mwenendo wa upinzani dhidi ya vitendo hivyo vya jinai vya Israeli, umeongezeka sana duniani ikiwa ni pamoja na nchini Marekani, ambayo ni mwitifaki mkubwa wa Tel Aviv.

  • Jenerali Ashtiani: US itakabiliwa na pigo zito iwapo vita vya Gaza havitamalizika

    Jenerali Ashtiani: US itakabiliwa na pigo zito iwapo vita vya Gaza havitamalizika

    Nov 05, 2023 23:29

    Waziri wa Ulinzi wa Iran ameonya kuwa, Marekani itakabiliwa na pigo kubwa na zito iwapo itashindwa kusimamisha mashambulizi ya kinyama yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

  • UN: Zinahitajika dola bilioni 1.2 kukidhi mahitaji ya mamilioni Gaza, Ukingo wa Magharibi

    UN: Zinahitajika dola bilioni 1.2 kukidhi mahitaji ya mamilioni Gaza, Ukingo wa Magharibi

    Nov 03, 2023 23:34

    Ofisi ya Uratibu wa Misaada ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imetangaza kuwa, takriban dola bilioni 1.2 zinahitajika kwa ajili ya kushughulikia mahitaji ya msingi ya Wapalestina milioni 2.7 katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • "Vita vya Israel dhidi ya Gaza vinafanana na vita vya Saddam dhidi ya Iran"

    Nov 03, 2023 08:59

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mashambulizi yasiyo na kikomo ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza yanashabihiana na vita vya kivamizi na kichokozi vya dikteta wa zamani wa Iraq, Saddam Hussein dhidi ya Iran katika miaka ya 1980.

  • Abdollahian: Jitihada za kusitisha vita Gaza kwa njia za kisiasa zinaendelea

    Abdollahian: Jitihada za kusitisha vita Gaza kwa njia za kisiasa zinaendelea

    Nov 01, 2023 23:29

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na Qatar zinaendeleza juhudi za kisiasa za kutaka kusimamishwa vita kwa muda katika Ukanda wa Gaza haraka iwezekanavyo, huku utawala wa Kizayuni wa Israel ukiendelea kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika eneo hilo lililozingirwa.

  • Abdollahian na Haniya wakutana Doha na kujadili matukio ya Ukanda wa Gaza

    Abdollahian na Haniya wakutana Doha na kujadili matukio ya Ukanda wa Gaza

    Nov 01, 2023 01:04

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, ambapo wamebadilishana mawazo kuhusu matukio yanayoendelea kushuhudiwa katika Ukanda wa Gaza.