-
Witkoff: Amani haiwezi kupatikana Ukraine bila ridhaa ya Putin
May 14, 2025 02:44Steve Witkoff, Mjumbe maalumu wa Rais wa Marekani, Donald Trump amesema utatuzi wa amani wa mzozo wa Ukraine hauwezekani bila idhini na ridhaa ya Rais wa Russia, Vladimir Putin.
-
Putin: Tunatumai hatutalazimika kutumia silaha za nyuklia Ukraine
May 05, 2025 02:22Rais wa Russia, Vladimir Putin amesema kufikia sasa, udharura wa kutumia silaha za nyuklia nchini Ukraine haujajitokeza, na kwamba anatumai hautatokea.
-
Kremlin: Russia inaweza kutoa msaada wa kijeshi kwa Korea Kaskazini 'ikiwa italazimu'
Apr 29, 2025 06:50Ikulu ya Russia, Kremlin imesema nchi hiyo inaweza kutoa msaada wa kijeshi kwa Korea Kaskazini chini ya makubaliano ya ushirikiano wa kimkakati yaliyotiwa saini kati ya nchi hizo mbili mwishoni mwa mwaka jana.
-
Trump: Ukraine ndiyo ya kulaumiwa kwa kuanzisha mzozo na Russia
Apr 26, 2025 05:36Rais wa Marekani, amedai kuwa maneno yake kuhusu kumaliza vita nchini Ukraine kwa siku moja yalitiwa chumvi, na kusema kuwa Kiev ndiyo ya kulaumiwa kwa kuanzisha vita na Russia.
-
Russia: Ukraine imekiuka usitishaji vita wa Pasaka kwa kutumia makombora ya Marekani
Apr 22, 2025 07:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa kombora la HIMARS lililotengenezwa Marekani limetumika katika mashambulizi ya hivi karibuni ya Ukraine na kwamba huo ni ukiukaji wa usitishaji mapigano katika kipindi cha Pasaka.
-
Onyo la Marekani kuhusu kurejea nyuma katika mazungumzo ya vita vya Ukraine
Apr 21, 2025 02:24Marco Rubio Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani ametangaza kuwa, Rais Donald Trump atajiondoa katika juhudi za kupatanisha makubaliano ya amani kati ya Russia na Ukraine ndani ya siku chache zijazo isipokuwa kama kutakuwa na dalili za wazi kwamba makubaliano yanaweza kufikiwa.
-
Mamia ya familia zalazimika kukimbia baada ya RSF kushambulia vijiji Darfur, Sudan
Apr 08, 2025 09:42Mamia ya familia zimefurushwa kutoka vijiji viwili magharibi mwa Sudan baada ya mashambulizi yaliyofanywa na wapiganaji wa Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF). Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM).
-
Diop: Ukraine inachochea ukosefu wa utulivu barani Afrika
Apr 08, 2025 06:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali, Abdoulaye Diop amesema Ukraine inavuruga utulivu barani Afrika kwa kuunga mkono makundi ya kigaidi katika eneo la Sahel barani humo.
-
Zelenskyy: Ukraine imepokea pendekezo jipya la Marekani kuhusu makubaliano ya madini
Mar 30, 2025 02:37Rais wa Ukraine amesema kuwa Kiev imepokea pendekezo jipya kutoka Marekani kuhusu makubaliano ya madini.
-
Niger yajitoa rasmi katika Jumuiya ya Nchi Zinazozungumza Kifaransa, Francophone
Mar 19, 2025 04:14Niger imejiondoa rasmi katika Jumuiya ya Kimataifa ya nchi zinazozungumza Kifaransa (OIF) au Francophone sambamba na juhudi zinazoendelea kufanywa na taifa hilo la Afrika Magharibi za kuvunja uhusiano na kujitenga na mkoloni wake wa zamani, Ufaransa.