-
Russia yaangamiza mifumo 11 ya ulinzi wa makombora ya jeshi la Ukraine
Mar 17, 2022 19:03Wizara ya Ulinzi ya Russia imetoa taarifa ikibainisha kuhusu mchakato wa mashambulizi ya nchi hiyo huko Ukraine na kutangaza kuwa, katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita imeangamiza ndege mbili za kivita, droni 12 na ghala moja la kijeshi la Ukraine.
-
Amir Abdollahian: Iran inaunga mkono juhudi za kutatua mzozo wa Ukraine
Mar 15, 2022 04:46Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inaunga mkono juhudi za kisiasa za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Ukraine.
-
Macron na Biden waafikiana kuongeza vikwazo dhidi ya Russia
Mar 14, 2022 04:43Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amezungumza kwa njia ya simu na mwenzake wa Marekani kuhusu mashambulio ya Russia dhidi ya Ukraine, na pande hizo mbili zimekubaliana kuzidisha vikwazo dhidi ya Moscow.
-
Kukiri EU kosa lake la kuiahidi Ukraine kujiunga na NATO
Mar 13, 2022 23:23Josep Borrell Fontelles, Mkuu wa Sera za Kigeni za Umoja wa Ulaya amekiri kuwa kitendo cha umoja huo cha kuipa ahadi Ukraine ya kuiunga na Jeshi la Nchi za Magharibi NATO, lilikuwa kosa.
-
Kutoweka na magendo ya watoto; upande mwingine wa taswira ya vita vya Ukraine
Mar 12, 2022 22:50Makundi ya kutoa misaada ya kibinadamu na taasisi za kusaidia watu wenye uhitaji katika maeneo ya mpakani ya Ukraine yameeleza kwasiwasi wao kuhusu biashara haramu ya binadamu hususan kuuzwa watoto sambamba machafuko yaliyosabaishwa na mgogoro wa wakimbizi katika vita vya Ukraine.
-
Kuwepo kwa wapiganaji wa kigeni katika vita vya Ukraine; mwelekeo na sura mpya
Mar 12, 2022 07:13Sambamba na kuendelea vita huko Ukraine, kuwepo kwa vikosi na wapiganaji wa kigeni kumevipa vita hivyo sura na mwelekeo mpya. Ni baada ya Rais Vladimir Putin wa Russia kuafiki suala la kuwezesha wapiganaji na vikosi vya kujitolea vinavyounga mkono nchi hiyo kushiriki katika vita vya Ukraine.
-
UN: Hatuna taarifa za kuwepo silaha za biolojia nchini Ukraine
Mar 12, 2022 03:28Naibu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na udhibiti wa kuenea kwa silaha duniani amesema, umoja huo hauna taarifa zozote kuhusu mipango ya uzalishaji silaha za vijidudu za kibiolojia nchini Ukraine.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran akosoa ubaguzi wa nchi za Magharibi katika kadhia ya Ukraine
Mar 11, 2022 08:20Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amekosoa sera za kibaguzi za nchi za Magharibi za kuwatambua wazugu na watu weupe kutoka Ukraine kuwa ndio boza zaidi ya watu wa rangi nyingine na kusema hilo ni doa jeusi na la kufedhehesha.
-
Baraza la Usalama la UN leo linajadili faili la silaha za kibaolojia nchini Ukraine
Mar 11, 2022 08:19Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litafanya kikao cha dharura leo kwa ombi la Russia kujadili faili la silaha za kibaolojia nchini Ukraine. Ni baada ya Moscow kuzishutumu Kyiv na Washington kwamba zimekuwa zikitengeneza silaha za kibaolojia za kueneza magonjwa hatari kwa kutumia wanyama, jambo ambalo Marekani na Ukraine zimelikanusha.
-
Kesi za maambukizi ya corona zaongezeka Nigeria baada ya wanafunzi kurejea nchini wakitokea Ukraine
Mar 11, 2022 01:13Nigeria imetangaza ongezeko la maambukizo ya Covid-19 siku moja baada ya kusajili idadi ndogo zaidi ya kila siku iliyorekodiwa tangu kuanza kwa janga hilo.