-
Mgogoro wa Ukraine kwa mtazamo wa Hassan Nasrullah; kuporomoka kimaadili Wamagharibi
Mar 10, 2022 22:59Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mgogoro wa Ukraine umeonyesha kuporomoka kimaadili Wamagharibi.
-
Palestina: Mgogoro wa Ukraine umeonyesha kuwa vigezo vya mfumo wa kimataifa ni vya kibaguzi
Mar 10, 2022 08:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema, mgogoro wa Ukraine umeonyesha kuwa vipimo na vigezo vinavyotumiwa na mfumo wa kimataifa ni vya kibaguzi na undumakuwili.
-
Upinzani dhidi ya uanachama wa Ukraine katika Umoja wa Ulaya
Mar 08, 2022 08:00Mjumbe mmoja wa ngazi za juu katika bunge la Ujerumani amesema kuwa mkondo wa kuipa Ukraine uanachama katika Umoja wa Ulaya ni hatari kwa maslahi ya umoja huo na kwamba njia bora ni kuipa Ukraine uanachama wa heshima tu.
-
Ukosoaji wa misimamo ya kindumakuwili ya nchi za Kiarabu na Magharibi kuhusu vita vya Yemen na Ukraine
Mar 07, 2022 23:20Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Yemen amekosoa vikali mienendo na misimamo ya kiundumakuwili wa baadhi ya nchi za Kiarabu kuhusu vita vya Yemen na Ukraine. Baadhi ya wachambuzi pia wamekosoa misimamo kama hiyo nchi za Magharibi.
-
Ufaransa na UK zalumbana kuhusu wakimbizi wa Ukraine
Mar 07, 2022 23:08Wimbi la wakimbizi wa Ukraine ambalo linahesabiwa kuwa ni la kasi kubwa zaidi barani Ulaya baada ya Vita vya Pili vya Duniani, limezitumbukiza nchi mbili za Ufaransa na Uingereza katika vita vya maneno na malumbano.
-
Wanaigeria wazuiwa kwenda kupigana vita Ukraine
Mar 07, 2022 08:58Serikali ya Nigeria imesema kuwa haitamruhusu raia wake yoyote kwenda kupigana vita Ukraine baada ya Russia kuishambulai nchi hiyo hivi karibuni.
-
Russia yaonya kuhusu kutumwa magaidi wa ISIS nchini Ukraine
Mar 06, 2022 01:19Idara ya Ujasusi wa Nje ya Russia (SVR) imesema katika taarifa yake ya siku ya Ijumaa kwamba Marekani inawapa mafunzo magaidi wa Daesh (ISIS) katika kituo cha Al-Tanf nchini Syria ili wapelekwe Ukraine.
-
Borell apendekeza China iwe mpatanishi kati ya Russia na Ukraine
Mar 06, 2022 00:52Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amependekeza nchi ya tatu iwe mpatanishi wa kumaliza mivutano kati ya Russia na Ukraine.
-
Spika wa Bunge la Russia: Rais wa Ukraine amekimbilia Poland
Mar 05, 2022 04:02Spika wa Bunge la Russia maarufu kwa jina la Duma amesema kuwa, Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine amekimbilia nchi jirani ya Poland.
-
Khatibu ya Swala ya Ijumaa: Marekani imehusika na yanayoendelea Ukraine
Mar 04, 2022 09:00Khatibu wa Muda wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehrah amekosoa vikali mienendo ghalati ya Marekani katika medani ya kimataifa na kusisitiza kuwa, US ni nembo ya ujahili mamboleo.