-
Kuongezeka vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya na vigezo vya undumakuwili kuhusu uhuru wa kujieleza
Apr 18, 2022 11:13Mwenendo wa chuki dhidi ya Uislamu na vitendo vya mabavu dhidi ya Waislamu vimeongezeka katika miaka ya karibuni katika nchi za Ulaya. Kujitokeza na kuongezeka kwa harakati, vyama na watu wenye misimamo mikali wa mrengo wa kulia kumekuwa na nafasi kuu katika uwanja huo.
-
Shirika la Afya Duniani linakosoa kuondolewa vizuizi vya corona barani Ulaya
Mar 23, 2022 11:46Shirika la Afya Duniani (WHO) limekosoa hatua ya kuondolewa vikwazo vya corona katika nchi za Ulaya.
-
Kuongezeka propaganda za kueneza chuki dhidi ya Russia barani Ulaya
Mar 09, 2022 08:08Huku mgogoro ukizidi kuwa mkubwa baina ya Russia na nchi za Magharibi hususan kutokana na kupamba moto mapigano nchini Ukraine, mashinikizo yanayotokana na vikwazo vya Magharibi dhidi ya Russia nayo yameongezeka.
-
Raia wa Russia wakwama na kutangatanga katika viwanja vya ndege vya nchi za Ulaya
Mar 02, 2022 03:36Vyombo vya habari vya Russia vimetangaza kuwa, raia wa nchi hiyo wanatangatanga katika viwanja vya ndege vya nchi za Ulaya kufuatia uamuzi wa Umoja wa Ulaya kuiwekea Russia vikwazo vya anga.
-
Russia: Hatutaki vita barani Ulaya wala Ukraine
Feb 16, 2022 07:10Rais wa Russia amesema kuwa nchi yake haitaki kutokee vita barani Ulaya wala nchini Ukraine na ni kwa sababu hiyo ndio maana imetoa pendekezo la kudhaminiwa usalama wa eneo hilo.
-
Kuongezeka indhari kuhusu uwezekano wa kutokea vita mashariki mwa Ulaya
Feb 12, 2022 10:13Nchi za Magharibi zinaendelea kutoa tahadhari mbalimbali kuhusu uwezekano wa Russia kuishambulia Ukraine kufuatia kuongezeka mivutano huko Ulaya Mashariki kati ya Moscow na Kiev.
-
Nchi nne za Ulaya zataka kusimamishwa ujenzi wa vitongoji vya Wazayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu
Jan 20, 2022 10:37Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi nne za Ulaya ambazo ni Ufaransa, Ujerumani, Italia na Hispania wamesema kuwa uamuzi wa viongozi wa utawala haramu wa Israel wa kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa.
-
Kuanza kupelekwa barani Ulaya huduma za nishati za Iran
Jan 18, 2022 08:08Kufuatia kutiwa saini hati ya mapatano kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Romania kwa ajili ya kupelekwa nchini humo huduma za kiufundi za Iran katika sekta ya gesi, kwa mara ya kwanza Iran imejiunga na nchi zinazouza barani Ulaya huduma za nishati.
-
Poland yaonya: Ulaya ipo katika ncha ya kutumbukia vitani
Jan 14, 2022 03:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Poland ametahadharisha kuwa, bara Ulaya lipo katika hatari kubwa ya kutumbukia kwenye vita wakati huu, kuliko ilivyokuwa miongo mitatu iliyopita.
-
Barua za chuki dhidi ya Uislamu zasambazwa misikitini Uholanzi
Jan 04, 2022 07:59Wakfu wa Dini Uholanzi umelaani vikali kitendo cha kusambazwa barua zenye jumbe za chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu katika misikiti kadhaa ya nchi hiyo ya Ulaya.