Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ulaya

  • Russia yaituhumu Marekani na nchi za Ulaya kuwa zimechochea machafuko Moscow

    Russia yaituhumu Marekani na nchi za Ulaya kuwa zimechochea machafuko Moscow

    Aug 05, 2019 11:31

    Msemaji wa Wizara ya Mambo y Nje ya Russia amesema kuwa Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya zimehusika katika machafuko yaliyotokea hivi karibuni mjini Moscow.

  • Trump atishia kuwaachilia magaidi wa Daesh warejee katika nchi za Ulaya

    Trump atishia kuwaachilia magaidi wa Daesh warejee katika nchi za Ulaya

    Aug 02, 2019 11:57

    Marekani imekuwa na nafasi muhimu katika kubuni na kueneza shughuli za makundi ya kigaidi likiweo la Daesh katika mgogoro wa Syria kwa lengo la kuindoa madarakani serikali halali ya nchi hiyo.

  • Mousavi: Iran inasubiri hatua za kivitendo za Ulaya katika kulinda makubaliano ya JCPOA

    Mousavi: Iran inasubiri hatua za kivitendo za Ulaya katika kulinda makubaliano ya JCPOA

    Jul 29, 2019 14:02

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inasubiri kuona hatua za kivitendo za nchi za Ulaya katika kulinda makubaliano ya nyuklia maarufu kwa kifupi kwa jina la JCPOA.

  • Uchunguzi: Wafuasi wa dini za waliowachache wananyimwa haki zao barani Ulaya

    Uchunguzi: Wafuasi wa dini za waliowachache wananyimwa haki zao barani Ulaya

    Jul 17, 2019 11:30

    Uchunguzi umebaini kuwa, wafuasi wa dini za waliowachache wananyimwa haki zao barani Ulaya na wanaishi chini ya mashinikizo, vizuizi vikubwa na ukandamnizaji.

  • JCPOA na Baraza la Magavana; juhudi za Ulaya katika kivuli cha undumakuwili wa Marekani

    JCPOA na Baraza la Magavana; juhudi za Ulaya katika kivuli cha undumakuwili wa Marekani

    Jul 11, 2019 10:55

    Sambamba na kufanyika safari ya mshauri wa masuala ya kidiplomasia wa Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa mjini Tehran, kikao cha Baraza la Magavana la Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia kimefanyika mjini Vienna Austria kwa ombi la Marekani.

  • Iran: Tutachukua hatua kubwa zaidi kama nchi za Ulaya zitaendelea kukwepa majukumu yao + Video

    Iran: Tutachukua hatua kubwa zaidi kama nchi za Ulaya zitaendelea kukwepa majukumu yao + Video

    Jul 08, 2019 11:33

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, kama nchi zilizobakia katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA hasa za Ulaya zitaendelea kukwepa kutekeleza majukumu yao, basi Tehran itaingia kwa nguvu kubwa zaidi katika awamu ya tatu ya kupunguza utekelezaji wa ahadi zake ndani ya mapatano hayo.

  • Hatua mpya ya Iran katika kujibu ukiukaji ahadi wa madola ya Ulaya; Iran yavuka kiwango cha kilo 300 za urani iliyorutubishwa

    Hatua mpya ya Iran katika kujibu ukiukaji ahadi wa madola ya Ulaya; Iran yavuka kiwango cha kilo 300 za urani iliyorutubishwa

    Jul 03, 2019 02:34

    Kwa mujibu wa kifungu nambari 36 cha makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA, Iran imevuka kiwango cha kilo 300 za urani iliyorutubishwa.

  • Russia yakosoa vikali chokochoko za jeshi la Marekani dhidi ya Iran

    Russia yakosoa vikali chokochoko za jeshi la Marekani dhidi ya Iran

    Jun 21, 2019 09:18

    Baada ya kujitoa kinyume cha sheria katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA, Marekani imekuwa ikitekeleza siasa za 'mashinikizo ya juu zaidi' dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Njia za utatuzi za Rais Vladmir Putin kwa ajili ya mapatano ya JCPOA

    Njia za utatuzi za Rais Vladmir Putin kwa ajili ya mapatano ya JCPOA

    Jun 17, 2019 04:34

    Hatua ya Marekani ya kujiondoa kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei mwaka jana na pia ukiukaji wa ahadi wa mara kwa mara wa Umoja wa Ulaya ambao umeshindwa kulinda mapatano hayo kupitia kuanzisha mfumo utakaosaidia kupunguza athari hasi za vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran, ni mambo yaliyoyaweka katika hali mbaya mapatano hayo.

  • Wahadhiri zaidi ya 150 barani Ulaya wametaka kusitishwa uungaji mkono kwa Israel

    Wahadhiri zaidi ya 150 barani Ulaya wametaka kusitishwa uungaji mkono kwa Israel

    Jun 11, 2019 04:53

    Wahadhiri wa Vyuo Vikuu mbalimbali barani Ulaya zaidi ya 150 wameutaka Umoja wa Ulaya (EU) kusitisha ushirikiano wake na pande zinazolidhaminia jeshi la utawala wa Kizayuni fedha, silaha na teknojia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS