-
Mashtaka ya Saudia dhidi ya Imarati, hatua ya aina yake katika uhusiano wa nchi mbili
Apr 20, 2024 02:42Saudi Arabia imewasilisha malalamiko dhidi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kutokana na mzozo wa mpaka.
-
Safari ya Rais Vladimir Putin wa Russia katika nchi za Imarati na Saudi Arabia
Dec 09, 2023 06:12Rais Vladimir Putin wa Russia Jumatano alifanya ziara ya siku moja katika nchi za Imarati na Saudi Arabia ambapo alijadiliana na viongozi wa nchi hizo kuhusiana na uhusiano wa pande mbili na masuala ya kimataifa, vikiwemo vita vya Gaza.
-
Jumamosi, 02 Disemba, 2023
Dec 02, 2023 04:20Leo ni Jumamosi 18 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1445 Hijria mwafaka na tarehe Pili Disemba, 2023 Miladia
-
Mwakilishi wa UAE katika Umoja wa Mataifa: Israel inapasa kusitisha haraka ujenzi wa vitongoji
Jun 28, 2023 07:58Mwakilishi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) katika Umoja wa Mataifa ameutaka utawala wa Kizayuni kusimamisha haraka iwezekanavyo ujenzi wa vitingoji vya walowezi na mashambulizi dhidi ya Wapalestina ili kutolitumbukiza eneo katika mivutano zaidi.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aonana na Rais wa Serikali ya Imarati
Jun 22, 2023 10:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran leo ameonana na Rais wa Serikali ya Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kumkabidhi mwaliko Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran leo ameonana na Rais wa Serikali ya Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kumkabidhi mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu wa kuitembelea Iran.wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu wa kuitembelea Iran.
-
Shamkhani: Ushirikiano wa Ghuba ya Uajemi uchukue nafasi ya mifarakano na uhasama
Mar 17, 2023 02:27Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesisitiza stratejia isiyobadilika ya sera za nje za Jamhuri ya Kiislamu kuhusu ushirikiano wa pande zote, endelevu na wenye manufaa na majirani zake na kusema: ili kuondokana na changamoto zilizopo ambazo kuendelea kwake hakuna maslahi kwa nchi yoyote katika eneo hili, ni lazima ushirikiano na mshikamano vichuke nafasi ya mifarakano na uhasama.
-
Imarati yakosolewa vikali kwa kufungua kituo kiitwacho "Nyumba ya Familia ya Ibrahim"
Feb 21, 2023 13:22Hatua ya Muungano wa Falme za Kiarabu ya kuasisi kituo kilichopewa jina la "Nyumba ya Familia ya Ibrahim" (The Abrahamic Family House) kwa madai ya kueneza mazungumzo baina ya dini mbalimbali nchini humo imeamsha hasira za watumiaji wa mitandao ya kijamii wakiwemo pia shakhsia mashuhuri wa kidini.
-
Kudumishwa harakati za Imarati kinyume na fikra za waliowengi katika ulimwengu wa Kiarabu
Dec 26, 2022 02:16Ikiwa ni katika kuendeleza siasa zake za kuimarisha uhusiano na utawala haramu wa Israel unaoendelea kuua watoto na wanawake wa Palestina na wakati huo huo kukalia kwa mabavu maeneo matakatifu ya Waislamu ikiwa ni pamoja na Msikiti wa al-Aqsa, Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati, umetia saini mapatano mapya ya kushirikiana kiuchumi na kibiashara na utawala huo ghasibu.
-
Njama ya UAE yazimwa na "kampeni ya kufelisha uanzishaji uhusiano na Israel"
Dec 05, 2022 12:06Kuzinduliwa kampeni kwenye mitandao ya kijamii yenye alama ya hashtag "Kufeli Uanzishaji Uhusiano na Israel Katika Kombe la Dunia Qatar" kumekaribishwa kwa wingi na wanaharakati wa Muungano wa Falme za Kiarabu, Imarati na nchi zingine za Kiarabu ambao wote wamesisitiza kwa kauli moja kwamba, Kombe la Dunia la Soka nchini Qatar limefichua na kuzima njama ya Imarati ya kueneza mpango wa kuanzisha uhusiano na Wzayuni.
-
Waziri Mkuu wa Israel afanya safari ya kushtukiza Imarati
Jun 09, 2022 23:21Naftali Bennett, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel yupo Abu Dhabi katika ziara rasmi ya kuutembelea Muungano wa Falme za Kiarabu.