-
UN: Kuiwekea Gaza mzingiro wa kila kitu ni 'marufuku' chini ya sheria za kimataifa
Oct 10, 2023 11:58Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema, mzingiro wa kila kitu ambao Israel imeamua kuuwekea Ukanda wa Gaza, na kuwanyima raia bidhaa muhimu kwa ajili ya maisha, umepigwa marufuku chini ya sheria za kimataifa.
-
UN na ICRC: Lazima kuweko na sheria na vikwazo kudhibiti silaha zinazojiendesha
Oct 06, 2023 07:16Umoja wa Mataifa na Shirika la Msalaba Mwekundu Duniani ICRC zimetoa wito wa kuanzishwa sheria na vikwazo ili kudhibiti mifumo ya silaha zinazojiendesha.
-
Erdogan: Uturuki haitarajii chochote kutoka Umoja wa Ulaya
Oct 02, 2023 00:09Rais Recep Tayyeb Erdogan wa Uturuki amesema taifa hilo halitazamii kupata kitu chochote kutoka Brussels, baada ya kusubiri kwa miongo kadhaa kupewa uanachama wa Umoja wa Ulaya.
-
UN yatuma ujumbe wake Nagorno-Karabagh kwa mara ya kwanza baada ya takribani miaka 30
Sep 30, 2023 03:15Umoja wa Mataifa utatuma ujumbe katika eneo la Nagorno-Karabakh kwa mara ya kwanza baada ya takribani miaka 30, kufuatia makubaliano uliyofikia na Serikali ya Azerbaijan juu ya suala hilo.
-
Umoja wa Mataifa wakosoa hatua mpya ya Ufaransa dhidi ya hijabu ya Kiislamu
Sep 29, 2023 04:47Marta Hurtado, Msemaji wa Ofisi ya Haki za Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa, Jumatano alikosoa marufuku ya uvaaji hijabu kwa wanariadha wa Ufaransa katika michezo ya Olimpiki ya 2024, ambayo imepangwa kufanyika Paris mwaka ujao.
-
Umoja wa Mataifa wakosoa "marufuku ya hijabu" katika Michezo ya Olimpiki 2024
Sep 27, 2023 12:55Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imekosoa uamuzi wa serikali ya Ufaransa "kupiga marufuku vazi la hijabu kwa wanariadha wa Ufaransa" katika Michezo ya Olimpiki ya mwaka ujao inayoandaliwa na Paris.
-
Guterres apongeza azma ya Iran kutuma vikosi vyake kulinda amani duniani
Sep 23, 2023 04:14Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekaribisha kwa mikono miwili pendekezo la Rais Ebrahim Raisi wa Iran la kuwa tayari wanajeshi wa Jamhuri ya Kiislamu kujiunga na vikosi vya kulinda amani kote duniani.
-
Rais wa Iran: Kuna ulazima wa kuangaliwa upya muundo wa Umoja wa Mataifa
Sep 23, 2023 01:02Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuna umuhimu wa kufanyika marekebisho katika muundo wa Umoja wa Mataifa.
-
Sisitizo la kufanyiwa mabadiliko muundo wa Umoja wa Mataifa
Sep 20, 2023 22:53Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, amesisitiza haja ya kufanyiwa mabadiliko muundo wa umoja huo na kuonya kuwa, huenda kukajitokeza mgawanyiko iwapo jambo hilo halitazingatiwa.
-
UN: Wahajiri 400 wameaga dunia kwa mafuriko Libya
Sep 20, 2023 03:47Umoja wa Mataifa umesema mamia ya wahajiri ni miongoni mwa maelfu ya watu waliopoteza maisha kutokana na mafuriko makubwa yaliyosababishwa na kimbunga huko mashariki mwa Libya.