-
UN: Kuongezeka kwa njaa duniani ni matokeo ya Corona na vita
Jul 14, 2023 04:32Umoja wa Mataifa umetangaza kwamba migogoro mingi, ikiwa ni pamoja na vita na maambukizi ya virusi vya Corona, imezidisha idadi ya watu wenye njaa duniani.
-
Marekani yatetea kuchomwa moto Qurani Sweden, UN yalaani
Jul 01, 2023 06:44Huku ulimwengu wa Kiislamu ukiendelea kulaani vikali kitendo cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu huko nchini Sweden, Marekani imetoa taarifa inayoonekana kuunga mkono na kuhalalisha kitendo hicho cha kuvunjiwa heshima kitabu kitakatifu cha Waislamu.
-
UN yatahadharisha kuhusu athari mbaya za kumalizika mkataba nafaka kwa Pembe ya Afrika
Jun 27, 2023 06:00Moscow imetishia kujitoa katika makubaliano yanayoitwa "Mpango wa Nafaka wa Bahari Nyeusi" yaliyofikiwa kwa usimamizi wa Umoja wa Mataifa na Uturuki mwezi Julai mwaka jana iwapo hakutaondolewa vikwazo kwa usafirishaji wake wa nafaka na mbolea.
-
"US inawakandamiza wafungwa wa Guantanamo, iombe radhi"
Jun 27, 2023 03:25Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa amelaani namna Marekani inayoamiliana kikatili na wafungwa walioko katika Gereza la Guantanamo akisisitiza kuwa, Washington inapaswa kuomba radhi kwa jinai na miamala ya kinyama inayofanyiwa wafungwa hao.
-
UN yalaani shambulizi la kigaidi Uganda, waliouawa ni zaidi ya 40
Jun 18, 2023 04:15Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amelaani vikali shambulizi la kigaidi lililoua makumi ya wanafunzi katika eneo la Mpondwe, magharibi mwa Uganda.
-
Mali yataka UN iwaondoe nchini humo askari wake wa kulinda amani
Jun 17, 2023 07:37Serikali ya mpito ya Mali inayoongozwa na majenerali wa kijeshi imeutaka Umoja wa Mataifa uwaondoea nchini humo askari wa Kikosi cha kulinda amani cha umoja huo (MINUSMA).
-
"Uporaji wa ardhi wa Israel, sababu kuu ya matatizo ya Wapalestina"
Jun 17, 2023 07:37Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema kuporwa na kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina kunakofanywa na utawala ghasibu wa Israel ndiyo sababu kubwa ya kukumbwa na matatizo jamii ya Wapalestina katika kila sekta.
-
Guterres ataka kuundwa taasisi ya kudhibiti Akili Mashine (AI)
Jun 13, 2023 03:23Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema iwapo jamii ya kimataifa haitachukua hatua za makusudi za kuzuia kuenea kwa matumizi mabaya ya zana za teknolojia ya akili mashine (AI), huenda teknolojia hiyo ikageuka na kuwa zimwi lisilodhibitika.
-
Kuendelea mgogoro huko Sudan na kufukuzwa Mjumbe wa UN nchini humo
Jun 11, 2023 08:58Mgogoro wa kisiasa na vita vya kuwania madaraka vinaendelea kutokota nchini Sudan licha ya jitihada zote za kimataifa na kikanda zinazofanyika kwa ajili ya kurejesha amani nchini huko. Katika hatua ya karibuni, Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imemfukuza Volker Perthes aliyekuwa Mjumbe wa Umoja wa Mataifa na kumtaja kuwa mtu asiyetakikana nchini humo.
-
UN 'yaguswa' na ukatili wa Israel wa kumuua mtoto wa miaka 2
Jun 06, 2023 02:09Umoja wa Mataifa umelaani mauaji ya mtoto mdogo wa Kipalestina yaliyofanywa na vyombo vya usalama vya utawala wa Kizayuni wa Israel.