-
Raia 500 wameuawa ndani ya miezi mitatu katika mapigano nchini Mali
May 31, 2022 06:43Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, raia zaidi ya 500 wameuawa nchini Mali katika mapigano kati ya jeshi na wanamgambo yaliyojiri kuanzia mwezi Januari hadi Machi mwaka huu.
-
Jumatatu, 30 Mei, 2022
May 29, 2022 22:39Leo ni Jumatatu tarehe 28 Mfunguo Mosi Shawwal 1443 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 30 Mei 2022 Miladia.
-
Kamishna wa UN wa Haki za Binadamu aitaka China ipitie upya sera zake dhidi ya ugaidi
May 29, 2022 07:41Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameitaka China kupitia upya sera zake za kupambana na ugaidi ili kuhakikisha zinazingatia viwango vya kimataifa vya haki za binadamu.
-
Mbunge wa Libya: Mjumbe wa UN ni mtekelezaji wa siasa za Marekani
May 24, 2022 02:49Muhammad al A'bani, mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Libya amesema Stephanie Williams, mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya ni mtekelezaji wa mipango na siasa za Marekani katika eneo.
-
UN yataka Kenya, Somalia na Ethiopia zisaidiwe kukabili ukame
May 21, 2022 08:00Umoja wa Mataifa umetoa mwito wa dharura wa kupatikana fedha ili kusaidia mataifa ya Pembe ya Afrika ambayo kwa miezi yameshuhudia hali ya ukame inayotishia kuwa mbaya zaidi.
-
WMO: Joto linaendelea kuongezeka duniani kwa mwaka wa saba mfululizo
May 18, 2022 08:19Shirika la Umoja wa Mataifa la Utabiri wa Hali ya Hewa Duniani, WMO limetangaza kuwa, hali ya hewa inaendelea kuwa mbaya duniani licha ya wadau kujadiliana kila uchao na kuahidi kuchukua hatua madhubuti za kulinda dunia kutoathiriwa na mabadiliko ya tabia nchi ambayo kwa kiasi kikubwa yanaathiriwa na shughuli za kibinadamu.
-
Jamhuri ya Czech yachukua nafasi ya Russia katika Baraza la Haki za Binadamu la UN
May 11, 2022 03:14Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limeipa Jamhuri ya Czech nafasi ya Russia baada ya kufuta uanachama wa Moscow kwenye baraza hilo.
-
Sana'a: Umoja wa Mataifa ni mshirika wa mzingiro dhidi ya Yemen
Apr 25, 2022 22:40Maafisa wa Yemen wameuonyeshea tena kidole cha lawama Umoja wa Mataifa na kuitaja asasi hiyo ya kimataifa kuwa mshirika wa mzingiro dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu.
-
UN yataka kuchunguzwa ukatili wa Wazayuni katika Msikiti wa Al-Aqsa
Apr 23, 2022 08:58Msemaji wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) ametoa wito wa kufanyika uchunguzi wa haraka na wa wazi kuhusiana na mashambulio ya kikatili ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya waumini wa Kipalestina waliokuwa wakifanya ibada katika Msikiti wa Al-Aqsa.
-
UN: Watoto 350,000 wa Somalia katika hatari ya kufa njaa
Apr 14, 2022 23:30Umoja wa Mataifa umeonya kuwa, watoto 350,000 wapo katika nchi ya kupoteza maisha kutokana na baa la njaa linaloisakama Somalia.