-
Onyo la mashirika 4 ya Umoja wa Mataifa kuhusu hatari ya usalama wa chakula duniani
Apr 14, 2022 02:52Benki ya Dunia, Shirika la Biashara Duniani, Mfuko wa Fedha wa Kimataifa na Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa zimeonya kuwa usalama wa chakula duniani uko hatarini na kwamba nchi zote zinapaswa kuchukua hatua maalumu kudhamini chakula kwa watu wao.
-
Ershadi: Ugaidi na uvamizi wa kigeni ni vitisho vikubwa kwa usalama wa wanawake
Apr 14, 2022 02:31Zahra Ershadi, balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa: "Kuzikalia kwa mabavu ardhi za mataifa mengine, uvamizi wa kigeni na ugaidi ndio vitisho vikuu kwa usalama wa wanawake katika Asia Magharibi."
-
UN: Tunatumai uthabiti na usalama utarejea nchini Somalia karibuni
Apr 13, 2022 03:18Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema ana matumaini ya kurejeshwa uthabiti, amani na usalama nchini Somalia haraka iwezekanavyo.
-
Sana'a: UN ihitimishe ukiukaji mkubwa wa usitishaji vita wa muungano Saudia
Apr 11, 2022 03:47Mkuu wa timu ya mazungumzo ya Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen ametaka kuhitimishwa ukiukaji wa usitishaji vita huko Yemen unaofanywa na muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia.
-
UN yapasisha azimio kulaani jinai za Israel eneo la Golan
Apr 02, 2022 22:21Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio lililoukosoa vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kwa jinai ulizozifanya katika Miinuko ya Golan ya Syria.
-
Iran na EU zajadili masuala yaliyosalia katika mazungumzo ya Vienna
Mar 27, 2022 07:59Kiongozi wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna, Ali Baqeri Kani amekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na Enrique Mora, mratibu wa mazungumzo ya Vienna, ambapo wamejadili hatua zilizopigwa na masuala yaliyosalia katika mazungumzo hayo yanayofanyika huko Austria.
-
UN: Jamii ya Kimataifa ndiyo inayobeba dhima ya 'Apatheid' ya utawala wa Kizayuni
Mar 26, 2022 22:01Umoja wa Mataifa umesema kuwa, kuendelea kuweko mfumo wa ubaguzi wa rangi aina ya Apatheid unaofanywa na utawala wa Kizayuni katika ardhi za Palestina, sababu yake ni udhaifu wa jamii ya kimataifa na jamii hiyo ndiyo iliyopelekea kutokea ubaguzi huo.
-
Guterres: Watoto wasiopungua elfu kumi wameuawa katika vita vya Yemen
Mar 17, 2022 05:21Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema katika mkutano wa video kuhusu uchangishaji fedha kwa ajili ya Yemen kwamba takriban watoto 10,000 wameuawa katika vita vya Yemen.
-
UN yaitangaza Machi 15 Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu (Islamophobia)
Mar 16, 2022 04:02Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja azimio la "Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu (Islamopohobia).
-
Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa UN alaani mauaji makubwa ya wafungwa Saudi Arabia
Mar 15, 2022 04:46Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet ametoa maoni yake kuhusu kunyongwa kwa watu 81 nchini Saudi Arabia.