-
UN: Hatuna taarifa za kuwepo silaha za biolojia nchini Ukraine
Mar 12, 2022 03:28Naibu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na udhibiti wa kuenea kwa silaha duniani amesema, umoja huo hauna taarifa zozote kuhusu mipango ya uzalishaji silaha za vijidudu za kibiolojia nchini Ukraine.
-
UN: Raia 440 wameuawa katika mapigano nchini Sudan Kusini
Mar 02, 2022 10:20Umoja wa Mataifa umesema, raia wasiopungua 440 wameuawa katika mapigano makali kati ya pande hasimu kusini-magharibi ya Sudan Kusini ndani ya kipindi cha miezi michache katika mwaka uliopita.
-
Umoja wa Mataifa: Ni asilimia 12 tu ya fedha zinazohitajika kuisaidia Afghanistan ndizo zilizopatikana
Feb 27, 2022 00:47Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, ni asilimia 12 tu ya fedha zilizokuwa zikihitajiwa na umoja huo kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa Afghanistan ndizo zilizopatikana.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu kusitishwa misaada ya chakula kwa wananchi wa Yemen
Feb 27, 2022 00:46Msemaji wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha juu ya matokeo mabaya ya kusitishwa misaada ya chakula kwa wananchi wa Yemen.
-
Baada ya kulipa gharama za kuivamia kijeshi Kuwait, Iraq yaondolewa kwenye Sura ya 7 ya UN
Feb 23, 2022 23:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq ametangaza kuwa nchi hiyo imeondolewa kwenye orodha ya Sura ya 7 ya Hati ya Umoja wa Mataifa.
-
Mtaalamu wa UN awasili Sudan kuchunguza ukiukaji wa haki za binadamu baada ya mapinduzi ya jeshi
Feb 22, 2022 08:22Mtaalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa yuko nchini Sudan kuthibitisha madai ya wwa haki za binadamu baada ya mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea nchini humo Oktoba mwaka jana ambayo yameitumbukiza nchi katika machafuko na kusababisha maandamano ya karibu kila siku dhidi ya utawala wa kijeshi.
-
UN yashtushwa na ongezeko la mashambulizi dhidi ya wakimbizi wa ndani Kongo DR
Feb 21, 2022 03:51Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR na washirika wake wameeleza kushtushwa na ripoti za mashambulizi manane makubwa yaliyotokea katika siku 10 za mwanzo wa mwezi huu katika jimbo la Ituri nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
UN yaonya, vifo vya uchafuzi wa mazingira ni zaidi ya vifo vya corona
Feb 17, 2022 04:50Afisa wa Umoja wa Mataifa amesema vifo vinavyotokana na uchafuzi wa mazingira, kama vile uchafuzi wa hali ya hewa, vinazidi vile vinavyosababishwa na janga la corona.
-
DiCarlo: Vikwazo vya UN vimekuwa kibogoyo, havina tena taathira
Feb 10, 2022 05:29Wakati Umoja wa Mataifa ukiendelea kutumia vikwazo kama sera ya kuziadhibu nchi mbalimbali duniani, Naibu Katibu Mkuu wa umoja huo katika Masuala ya Siasa na Kujenga Amani, Rosemary Anne DiCarlo amekiri kwamba utumiaji wa vikwazo hauna tena taathira kama ilivyokuwa hapo awali.
-
Tahadhari ya Umoja wa Mataifa kuhusu hali mbaya eneo la Pembe ya Afrika
Feb 09, 2022 23:27Huku mizozo ya kisiasa na kijamii ikiendelea katika ukanda wa Afrika Mashariki, nchi nyingi za kanda hiyo zinakabiliwa na ukame mkubwa; na ambamba na hayo Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza kuwa ukame umesababisha takriban watu milioni 13 katika Pembe ya Afrika kukumbwa na njaa.