Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Kukosoa ripota wa Umoja wa Mataifa hatua isiyo ya kisheria ya Marekani ya kumuua Qassim Suleimani

    Kukosoa ripota wa Umoja wa Mataifa hatua isiyo ya kisheria ya Marekani ya kumuua Qassim Suleimani

    Jan 04, 2021 07:33

    Januari 3 mwaka uliomalizika hivi majuzi wa 2020, kwa amri ya Rais Donald Trump, utawala wa kigaidi wa Marekani ulifanya jinai ya kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassim Suleimani, Mkuu wa Kikosi cha Quds, cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na Abu Mahdi al Muhandis, Naibu wa Mkuu wa Harakati ya al Hashd al-Shaabi katika shambulio la anga lililofanywa jirani na uwanja wa ndege wa Baghdad nchini Iraq.

  • Ripota wa UN: Mauaji ya Kamanda Soleimani ni kinyume na sheria za kimataifa

    Ripota wa UN: Mauaji ya Kamanda Soleimani ni kinyume na sheria za kimataifa

    Jan 04, 2021 04:20

    Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, mauaji ya kigaidi ya shahid Hajj Qassem Soleimani ni kinyume na sheria za kimataifa na kuongeza kuwa, mauaji hayo yaliyofanywa na Marekani ni uvunjaji wa haki ya kujitawala ardhi ya Iraq.

  • Kupinga Marekani kupasishwa bajeti ya Umoja wa Mataifa

    Kupinga Marekani kupasishwa bajeti ya Umoja wa Mataifa

    Jan 03, 2021 23:59

    Katika kipindi cha uongozi wake, Rais Donald Trump wa Marekani ameukosoa mara chungu nzima Umoja wa Mataifa pamoja na utendaji wake na hata kutishia kupunguza msaada wa nchi yake kwa asasi hiyo ya kimataifa.

  • Yemen: Umoja wa Mataifa ni mshirika wa jinai za muungano wa kigaidi unaoongozwa na Saudi Arabia

    Yemen: Umoja wa Mataifa ni mshirika wa jinai za muungano wa kigaidi unaoongozwa na Saudi Arabia

    Jan 01, 2021 04:29

    Kiongozi mmoja wa Yemen amesisitiza kuwa, Umoja wa Mataifa ni mshirika wa jinai za muungano vamizi unaoongozwa na Saudia ambao umekuwa ukitenda jinai kila uchao dhidi ya wananchi wa Yemen.

  • Mamlaka ya Ndani ya Palestina yalalamikia kimya cha Baraza la Usalama kuhusu uvamizi wa walowezi wa Kiyahudi

    Mamlaka ya Ndani ya Palestina yalalamikia kimya cha Baraza la Usalama kuhusu uvamizi wa walowezi wa Kiyahudi

    Dec 20, 2020 23:22

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuacha kunyamazia kimya uvamizi wa walowezi wa Kizayuni na badala yake uwajibike kivitendo.

  • UN yalaani hatua ya Israel ya kuendelea kuua watoto wa Kipalestina

    UN yalaani hatua ya Israel ya kuendelea kuua watoto wa Kipalestina

    Dec 18, 2020 03:50

    Wataalamu wa masuala ya haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wamelaani vikali kitendo cha wanajeshi wa utawala haramu wa Israel cha kumuua kijana mwingine wa Kipalestina, huo ukiwa ni muendelezo wa mauaji dhidi ya watoto wa Kipalestina yanayofanywa na Wazayuni.

  • UN yatiwa wasiwasi na mapigano Msumbiji; laki 4 wahama makazi yao

    UN yatiwa wasiwasi na mapigano Msumbiji; laki 4 wahama makazi yao

    Dec 14, 2020 08:52

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, mgogoro mkubwa wa kibinadamu unanukia kaskazini mwa Msumbiji, ambapo watu zaidi ya laki nne wamelazimika kuyahama makazi yao wakihofia usalama wao.

  • UN yailaumu Marekani kwa msimamo wake kuhusu Sahara Magharibi

    UN yailaumu Marekani kwa msimamo wake kuhusu Sahara Magharibi

    Dec 13, 2020 04:06

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameilaumu Marekani kwa kutangaza kulitambua rasmi eneo la Sahara Magharibi kuwa ni milki ya Morocco.

  • UN yatoa indhari: Hali ya dharura ya mabadiliko ya tabianchi inahitaji hatua za haraka

    UN yatoa indhari: Hali ya dharura ya mabadiliko ya tabianchi inahitaji hatua za haraka

    Dec 12, 2020 22:17

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameonya kuwa dunia hivi sasa inakabuliwa na hali ya dharura ya mabadiliko ya tabianchi.

  • Hatua mpya ya utatuzi wa mgogoro wa Libya; maafikiano kuhusu namna ya kuwachagua viongozi wakuu wa serikali

    Hatua mpya ya utatuzi wa mgogoro wa Libya; maafikiano kuhusu namna ya kuwachagua viongozi wakuu wa serikali

    Dec 09, 2020 09:24

    Awamu muhimu ya vita vya ndani vya Libya ilianza kwa shambulio la mwezi Aprili 2019 lililofanywa na kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya (LNA) linaloongozwa na Khalifa Haftar ambalo shabaha yake ilikuwa ni kuudhibiti mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli na kuiangusha Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa (GNA); na wigo wa vita hivyo ukapanuka zaidi kwa uingiliaji wa pande za kigeni zinazounga mkono mirengo miwili hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS