-
UN yataka kufanyika marekebisho ya haraka katika muundo wa polisi Marekani
Jun 13, 2020 00:09Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi jana Ijumaa iliitaka serikali ya Marekani kutetekeleza marekebisho haraka iwezekanavyo kwa ajili ya kuondoa ubaguzi wa rangi wa kimfumo katika muundo wa polisi ya nchi hiyo.
-
UN yasikitishwa na hatua ya Trump ya kuiwekea vikwazo ICC
Jun 13, 2020 00:03Umoja wa Mataifa umeeleza kusikitishwa kwake na hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
Kuisusia ICC; muendelezo wa ushari wa Trump dhidi ya taasisi za kimataifa
Jun 12, 2020 22:35Rais wa Marekani, Donald Trump anaendeleza ushari wake wa kutojali, kuponda na kutoa vitisho dhidi ya taasisi za kimataifa. Hadi hivi sasa Trump ameshaitoa Marekani kwenye taasisi kadhaa za Umoja wa Mataifa kama vile UNESCO na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa na hivi sasa ametishia kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC.
-
Umoja wa Mataifa wapatwa na wasiwasi kufuatia kugunduliwa makaburi ya umati Libya
Jun 12, 2020 03:07Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini libya umeingiwa na wasiwasi mkubwa baada ya kugunduliwa makaburi ya umati magharibi mwa nchi hiyo.
-
UN yasisitiza ulazima wa kutatuliwa mgogoro wa Libya kwa njia za amani
Jun 09, 2020 03:04Uingiliaji kati wa nchi za kigeni katika mgogoro wa Libya umezidisha wasiwasi wa kimataifa kuhusu mgogoro huo. Katika mkondo huo Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusiana na hali ya Libya na umezitaka pande zote zinazohusika kuheshimu njia za kisiasa za kutatua mgogoro huo.
-
Ripoti ya UN: Wayemeni zaidi ya milioni 20 wanakabiliwa na hatari ya kupatwa na corona
Jun 05, 2020 03:22Shirika la Programu na Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limetangaza kuwa, zaidi ya Wayemeni milioni 20 wanasumbuliwa na njaa ya muda mrefu na wamo katika hatari ya kupatwa na virusi vya corona.
-
UN yakanusha madai ya US kwamba inatumia corona kuhamasisha uaviaji mimba
May 22, 2020 03:27Umoja wa Mataifa umekanusha vikali madai ya Marekani kuwa taasisi hiyo ya kimataifa inatumia janga la corona kuhamasisha uaviaji mimba duniani.
-
Ombi la Umoja wa Mataifa kuhusu kuondolewa vikwazo dhidi ya Iran
May 17, 2020 02:17Baada ya serikali ya Rais Donald Trump kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) mwaka 2018 katika fremu ya sera za mashinikizo ya juu kabisa na kisha kushadidisha vikwazo ambavyo havijawahi kushuhudiwa katika historia dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na licha ya kuibuka ugonjwa wa COVID-19 nchini Iran, lakini bado Trump anasisitiza kuendeleza vikwazo vyake vilivyo dhidi ya ubinadamu dhidi ya taifa hili.
-
Mwito wa UN wa kuanza tena mazungumzo ya amani Libya
May 04, 2020 01:52Mapigano nchini Libya yanaendelea katika hali ambayo Umoja wa Mataifa kwa muda mrefu sasa umekuwa ukihimiza kukomeshwa mapigano na kuunganishwa nguvu katika kukabiliana na ugonjwa hatari wa corona katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika iliyoiathiriwa vibaya na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
-
Msimamo wa Umoja wa Mataifa wa kukataa kuitambua serikali ya Libya aliyojitangazia Haftar
Apr 29, 2020 22:06Kufuatia hatua ya Jenerali muasi Khalifa Haftar ya kukiuka mapatano ya Skhirat na kujitangazia serikali nchini Libya, Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa unaitambua rasmi tu Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa (GNA) yenye makao yake Tripoli.