-
Ombi la nchi 8 kwa Umoja wa Mataifa kuhusu kuondolewa vikwazo dhidi ya Iran
Mar 27, 2020 05:25Kuendelea vikwazo vya kidhalimu na vilivyo dhidi ya ubinadamu vya Marekani dhidi ya Iran katika fremu ya mashinikizo ya juu kabisa ya utawala wa Trump katika kipindi hiki cha kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona nchini Iran sambamba na udharura wa kukabiliana na ugonjwa huo angamizi kumepelekea jamii ya kimataifa iwasilishe maombi ya kutaka vikwazo hivyo viondolewa mara moja.
-
Barua ya nchi 8 kwa Katibu Mkuu wa UN: Vikwazo vina taathira hasi kwa udhibiti wa janga la corona
Mar 26, 2020 03:43Wawakilishi wa Iran, Russia, China, Cuba, Korea Kaskazini, Iraq, Venezuela na Nicaragua katika Umoja wa Mataifa wamemwandikia barua Katibu Mkuu wa umoja huo, ambapo mbali na kuashiria kuwa corona ni adui wa pamoja wa nchi zote, wametahadharisha kwamba, vikwazo vina taathira hasi kwa udhibiti wa maambukizi ya kirusi hicho.
-
Katibu Mkuu wa UN: Kirusi cha corona ni tishio kwa 'binadamu wote kwa ujumla wao'
Mar 26, 2020 03:32Katbu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezindua kampeni ya ombi la kuchangia dola bilioni mbili za msaada wa kimataifa wa huduma za kibinadamu kwa ajili ya nchi zilizo masikini zaidi ili kuziwezesha kupambana na janga la kirusi cha corona, huku idadi ya vifo vinavyosababishwa na kirusi hicho katika nchi za Italia na Uhispania ikizidi kuongezeka.
-
Yemen yakaribisha uamuzi wa muungano wa kijeshi wa Saudia wa kuafiki kusitisha mapigano
Mar 26, 2020 03:29Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amekaribisha uamuzi uliotangazwa na muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia wa kuafiki pendekezo la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa la kusitisha vita na kupunguza mivutano nchini Yemen ili kusaidia mapambano dhidi ya maambukizi ya kirusi cha corona.
-
Kukaribisha Umoja wa Mataifa makubaliano ya usitishaji vita katika vita vya ndani nchini Libya
Mar 24, 2020 09:00Vita vya ndani nchini Livya viliibua wasiwasi mkubwa kufuatia mashambulio ya mara kwa mara ya Jeshi la Taifa la Libya linaloongozwa na jenerali Khalifa Haftar yaliyoanza Aprili mwaka jana kwa shabaha ya kuiangusha Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa.
-
Wapiganaji wa Haftar wapuuza mwito wa UN, waendelea kumwaga damu Libya
Mar 24, 2020 03:28Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya imetangaza habari ya kuuawa watu 6 katika mashambulizi ya roketi ya kundi la wanamgambo linalojiita jeshi la kitaifa la Libya linaloongozwa na Jenerali muasi Khalifa Haftar jana Jumatatu viungani mwa mjini mkuu Tripoli.
-
Guterres ataka kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Mar 21, 2020 22:06Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuna haja ya kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran na kusisitiza kuwa, vikwazo hivyo vimekuwa kizingiti katika jitihada za Jamhuri ya Kiislamu za kupambana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na kirusi cha Corona.
-
UN yalaani mauaji ya wasichana na wanawake mjini Tripoli, Libya
Mar 20, 2020 08:36Umoja wa Mataifa umelaani shambulizi la mabomu katika mji mkuu wa Libya Tripoli, ambalo liliua na kujeruhi watoto wa kike na wanawake kadhaa.
-
Umoja wa Mataifa wasema Afghanistan ndiyo nchi iliyo na idadi kubwa zaidi ya vifo vya watoto duniani
Mar 17, 2020 23:39Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Watoto, ameitaja Afghanistan kuwa nchi iliyo na idadi kubwa zaidi ya vifo vya watoto duniani.
-
Iraq yaishtaki Marekani Baraza la Usalama baada ya kushambulia vituo vya jeshi la nchi hiyo
Mar 17, 2020 12:13Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq imeishtaki Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya jeshi la nchi hiyo kushambulia kambi za jeshi na askari polisi wa Iran.