Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • UN: Corona itadhibitiwa kwa kutumia mantiki, si kwa kueneza taharuki

    UN: Corona itadhibitiwa kwa kutumia mantiki, si kwa kueneza taharuki

    Mar 15, 2020 23:05

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema dunia itafanikiwa katika vita dhidi ya ugonjwa hatari wa Covid-19 (Corona) kwa kutumia mantiki, busara na tahadhari na wala sio kwa kueneza hofu na taharuki.

  • Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya ajiuzulu

    Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya ajiuzulu

    Mar 03, 2020 03:55

    Ghassan Salamé, mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya ametangaza kujiuzulu wadhifa huo, huku mgogoro wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika ukishtadi.

  • Indhari ya UN kuhusu kubadilika mzozo wa Libya kuwa vita vya kieneo

    Indhari ya UN kuhusu kubadilika mzozo wa Libya kuwa vita vya kieneo

    Mar 01, 2020 20:50

    Licha ya mazungumzo na juhudi za kimataifa katika wiki za hivi karibuni kwa ajili ya kuhitimisha vita nchini Libya, lakini mapigano yamezidi kuongezeka na sasa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika imegeuka kuwa ulingo wa vita vya niaba.

  • Umoja wa Mataifa wawataka viongozi wa Somalia washirikiane

    Umoja wa Mataifa wawataka viongozi wa Somalia washirikiane

    Feb 25, 2020 04:21

    Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Somalia ametoa mwito kwa viongozi wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika kufanya kazi bega kwa bega na kuwa na ushirikiano wa karibu kwa lengo la kuhakikisha kuwa amani na uthabiti vinarejea nchini humo.

  • UN na IGAD zapongeza uundwaji wa serikali mpya Sudan Kusini

    UN na IGAD zapongeza uundwaji wa serikali mpya Sudan Kusini

    Feb 23, 2020 10:06

    Jumuiya ya Maendeleo ya Serikali ya Nchi za Afrika Mashariki (IGAD) na Shirika la Kuwahudumia Wakimbizi la Umoja wa Afrika (UNHCR) zimepongeza hatua ya kuundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na shauku huko Sudan Kusini.

  • Jumapili, tarehe 23 Februari, 2020

    Jumapili, tarehe 23 Februari, 2020

    Feb 22, 2020 21:43

    Leo ni Jumapili tarehe 28 Mfunguo Tisa Jamaduth-Thani 1441 Hijria, sawa na tarehe 23 Februari 2020.

  • Watoto 19 wa Yemen ni miongoni mwa waliouawa katika shambulizi la anga la Saudia

    Watoto 19 wa Yemen ni miongoni mwa waliouawa katika shambulizi la anga la Saudia

    Feb 20, 2020 23:12

    Umoja wa Mataifa umesema watoto 19 ni miongoni mwa makumi ya watu waliouawa katika shambulizi la anga la hivi karibuni la muungano vamizi wa kijeshi wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen.

  • Guterres ataka kutekelezwa azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro wa Kashmir

    Guterres ataka kutekelezwa azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro wa Kashmir

    Feb 20, 2020 08:23

    Katika siku ya mwisho ya safari yake nchini Pakistan, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekumbusha kadhia ya eneo la Kashmir na kuitaka serikali ya India iheshimu azimio la baraza la Usalama la umoja huo kuhusiana na Kashmir.

  • Russia yaitisha kikao cha dharura cha UN kujadili hatua ya Marekani ya kumnyima viza mjumbe wake

    Russia yaitisha kikao cha dharura cha UN kujadili hatua ya Marekani ya kumnyima viza mjumbe wake

    Feb 20, 2020 03:48

    Mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kufanyika kikao cha dharura cha umoja huo kwa ajili ya kujadili tabia ya Marekani ya kuwanyima viza ya kuingia nchini humo wawakilishi na wajumbe wa nchi mbalimbali kwa ajili ya kushiriki katika mikutano na vikao vya mashirika ya Umoja wa Mataifa.

  • Umoja wa Mataifa wataka kufanyike uchunguzi kuhusu mauaji ya hivi karibuni nchini Cameroon

    Umoja wa Mataifa wataka kufanyike uchunguzi kuhusu mauaji ya hivi karibuni nchini Cameroon

    Feb 19, 2020 07:15

    Umoja wa Mataifa umeitaka serikali ya Cameroon ifanye uchunguzi kuhusiana na mauaji ya hivi karibuni katika jimbo linalozungumza Kiingereza katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika ambapo watu wasioungua 22 waliuawa kikatili wakiwemo watoto wadogo na wanawake wawili wajawazito.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS