Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • UN yalaani shambulio la kigaidi la kusini mashariki mwa Iran

    UN yalaani shambulio la kigaidi la kusini mashariki mwa Iran

    Feb 15, 2019 04:09

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa taarifa na kulaani shambulio la kigaidi lililotokea Jumatano usiku katika mkoa wa Sistan na Baluchistan wa kusini mashariki mwa Iran.

  • UN: Mapigano mapya Sudan Kusini yasababisha watu 13,000 kuwa wakimbizi

    UN: Mapigano mapya Sudan Kusini yasababisha watu 13,000 kuwa wakimbizi

    Feb 12, 2019 10:44

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema mapigano mapya yaliyoibuka nchini Sudan Kusini yamesababisha watu 13,000 kuwa wakimbizi ndani na nje ya nchi.

  • Guterres: Wasichana wa vijijini wapewa fursa ya kusoma

    Guterres: Wasichana wa vijijini wapewa fursa ya kusoma

    Feb 10, 2019 23:15

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito wa kufanywa jitihada na kuandaliwa mikakati maalumu kwa ajili ya kuwapa elimu watoto wa kike hususan wanaoishi vijijini.

  • Walinda amani watatu wafariki dunia katika ajali ya helikopta nchini Sudan

    Walinda amani watatu wafariki dunia katika ajali ya helikopta nchini Sudan

    Feb 10, 2019 04:06

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa, walinda usalama watatu wamepoteza maisha baada ya helikopta ya kijeshi ya Ethiopia kupata ajali ndani ya kituo cha askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa (UNISFA), kwenye eneo lenye mzozo la Abyei katika mpaka wa Sudan na Sudan Kusini.

  • UN: Mauaji ya Khashoggi yamefanywa na maafisa wa utawala wa Saudi Arabia

    UN: Mauaji ya Khashoggi yamefanywa na maafisa wa utawala wa Saudi Arabia

    Feb 08, 2019 04:33

    Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa amesema maafisa wa Saudi Arabia wanahusika moja kwa moja na mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari aliyekuwa akiukosoa utawala huo wa kifalme.

  • UN yasikitika kufungwa maisha jela viongozi wa upinzani Bahrain

    UN yasikitika kufungwa maisha jela viongozi wa upinzani Bahrain

    Feb 01, 2019 23:17

    Umoja wa Mataifa umetilia shaka mchakato wa kesi, baada ya mahakama ya Bahrain kuwahukumu kifungo cha maisha jela viongozi wa upinzani nchini humo.

  • UNICEF: Zaidi ya watoto 6,000 wa Kiyemen wameuawa au kujeruhiwa katika vita vya Saudi Arabia dhidi ya Yemen

    UNICEF: Zaidi ya watoto 6,000 wa Kiyemen wameuawa au kujeruhiwa katika vita vya Saudi Arabia dhidi ya Yemen

    Jan 31, 2019 04:18

    Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, watoto 6,700 wa Kiyemen wameuawa au kujeruhiwa tangu Saudi Arabia ilipoanzisha hujuma yake ya kijeshi dhidi ya nchi masikini ya Yemen.

  • UN: Tishio la Boko Haram Nigeria lasababisha watu 30 elfu kutoroka nchi

    UN: Tishio la Boko Haram Nigeria lasababisha watu 30 elfu kutoroka nchi

    Jan 29, 2019 12:41

    Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya 30,000 wamekimbia makazi yao katika mji wa Rann kaskazini mwa Nigeria na kuingia katika nchi jirani ya Cameroon kutokana na wasiwasi wa kushambuliwa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram.

  • UN yachimbua makaburi 50 ya halaiki magharibi mwa Kongo DR

    UN yachimbua makaburi 50 ya halaiki magharibi mwa Kongo DR

    Jan 27, 2019 04:10

    Timu ya wataalamu wa Ofisi ya Pamoja ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (UNJHRO) imefukua zaidi ya makaburi 50 ya umati magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kuripotiwa wimbi la mauaji yaliyotokea mwezi uliopita katika eneo hilo.

  • Mkuu wa jeshi la Myanmar akabiliwa na mashitaka ya mauaji ya kimbari

    Mkuu wa jeshi la Myanmar akabiliwa na mashitaka ya mauaji ya kimbari

    Jan 26, 2019 04:36

    Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Myanmar amesema kuna udharura wa kumfungulia mashitaka ya jinai mkuu wa jeshi la Myanmar kwa kuongoza wimbi la mauaji dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya magharibi mwa nchi hiyo sambamba na kubakwa wanawake Waislamu wa jamii hiyo inayokandamizwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS