-
UN yataka uchunguzi wa mauaji ya askari wa kulinda amani Mali ufanyike
Jan 26, 2019 04:25Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa mwito wa kufanyika uchunguzi wa mauaji ya askari wa Kikosi cha Kulinda Amani cha UN nchini Mali (MINUSMA), waliopoteza maisha baada ya gari lao kukanyaga bomu la kutegwa ardhini jana Ijumaa.
-
UN: Jamii ya kimataifa ishirikiane na Iran katika kupambana na madawa ya kulevya
Jan 17, 2019 12:46Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kukabiliana na Mihadarati na Uhalifu (UNODC) ya hapa mjini Tehran amesema, kuna udharura wa dunia kuwa na mshikamano na Iran katika kupambana na mihadarati.
-
UN: Watu karibu 900 wameuawa katika mapigano ya kikabila DRC
Jan 17, 2019 04:21Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya 890 wameuawa katika ghasia za kikabila zilizotokea huko kaskazini magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mwezi uliopita wa Disemba 2018.
-
Baraza la Usalama UN lazitaka pande zote Kongo DR ziheshimu matokeo ya uchaguzi
Jan 16, 2019 04:26Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limezitaka pande zote nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ziheshimu matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi ya nchi hiyo.
-
Theluthi moja ya wafanyakazi wa UN wamenyanyaswa kingono katika miaka miwili iliyopita
Jan 16, 2019 03:51Theluthi moja ya wafanyakazi na wakandarasi wa Umoja wa Mataifa wamefanyiwa vitendo vya unyanyasaji wa kingono katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.
-
AU na UN zafufua mazungumzo ya amani Jamhuri ya Afrika ya Kati
Jan 09, 2019 13:28Maafisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa wako katika Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa lengo la kuhuisha mchakato wa mazungumzo ya amani uliokwama tangu Julai mwaka 2017.
-
Kuanza kazi mjumbe maalumu mpya wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria
Jan 09, 2019 04:05Geir Pedersen, mwanadiplomasia mkongwe wa Norway ambaye hivi karibuni aliteuliwa kuchukua mikoba ya Staffan de Mistura aliyekuwa mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria, Jumatatu ya juzi alianza rasmi kazi yake hiyo.
-
UN yaonya kuhusu kutofuatiliwa kisheria wanaojihusisha na magendo ya binadamu
Jan 07, 2019 10:47Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhuusiana na kutofuatiliwa kisheria watuu wanaojihusisha na biashara ya magendo ya binadamu.
-
UN yalaani ghasia zilizopelekea raia 40 kuuawa Burkina Faso
Jan 06, 2019 09:47Zaidi ya raia 40 wameripotiwa kuuawa wiki hii wakati wa mapigano ya kikabila kaskazini mwa Burkina Faso hali ambayo imesababisha Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres kutoa taarifa kulaani ghasia hizo.
-
Sisitizo la Umoja wa Mataifa la kuachiwa huru Nabeel Rajab
Jan 05, 2019 09:25Farhan Haq msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani namna utawala wa Aal Khalifa unavyokiuka uhuru wa kiraia huko Bahrain na kutaka kuachiwa huru haraka iwezekanavyo Nabeel Rajab Mkuu wa Kituo cha Haki za Binadamu cha nchini humo.