-
Mpango wa amani wa UN nchini Yemen wataka kujumuishwa Ansarullah serikalini
Jun 09, 2018 03:45Inaarifiwa kuwa, Umoja wa Mataifa umeandaa mpango wa amani wa kutamatisha mashambulizi ya muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen, baada ya jitihada za kidiplomasia kugonga mwamba.
-
UN: Watoto laki 5 eneo la Ziwa Chad wanakodolewa macho na mauti
Jun 09, 2018 03:42Umoja wa Mataifa umesema watoto karibu laki tano wanaoandamwa na utapiamlo wapo katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na njaa katika nchi za eneo la Ziwa Chad.
-
Palestina yaitaka UN ichunguze mauaji yanayofanywa na Israel huko Gaza
Jun 09, 2018 03:18Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa Baraza Kuu la umoja huo kukumbatia azimio linalotaka kuchunguzwa jinai za kutisha zinazoendelea kufanywa na wanajeshi katili wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
UN: Saudia inakandamiza na kuwatesa wanaharakati na washukiwa wa ugaidi
Jun 07, 2018 10:55Ripoti ya Umoja wa Mataifa imeukosoa utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia kwa kuwakandamiza, kuwatesa na kuwadhalilisha wanaharakati na washukiwa wa ugaidi unaowazuilia.
-
UN: Marekani ikomeshe tabia ya ukatili ya kuwatenganisha watoto wa kihajiri na wazazi wao
Jun 06, 2018 09:45Msemaji wa Ofisi ya Kutetea Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, ameitaka Marekani kukomesha ukiukaji wa haki za wahajiri wanaoingia katika nchi hiyo kinyume cha sheria sambamba na kufuata sheria zinazoruhusu watu wa familia moja miongoni mwa wahajiri kuwatembelea jamaa zao.
-
UN yaelezea wasi wasi wake kuhusu kushtadi kamatakamata Misri
Jun 06, 2018 03:07Ofisi ya Kutetea Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeeleza juu ya wasi wasi mkubwa ilionao kutokana na kushtadi wimbi la kamatakamata nchini Misri.
-
Plastiki zapigwa vita katika Siku ya Mazingira Duniani
Jun 05, 2018 02:56Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kukataa matumizi ya plastiki zinazotumika mara moja na kutupwa.
-
(Hatua kwa hatua kuelekea Siku ya Kimataifa ya Quds): Dhulma wanayofanyiwa Wapalestina na madai ya haki za binadamu ya Marekani
Jun 03, 2018 02:11Vitendo vilivyo dhidi ya ubinadamu ambavyo Israel inawafanyia wananchi madhulumu wa Palestina ni miongoni mwa mambo ambayo mara kwa mara yamekuwa yakifanywa ajenda za Baraza la Haki za Binadamu la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa; hata hivyo mara zote Marekani imekuwa ikiingilia kati na kuzuia kupasishwa maazimio ya kimataifa ya kulaani jinai hizo za Israel.
-
Mjumbe wa UN: Trump ni chanzo cha kutokuwepo usawa wa kiuchumi nchini Marekani
Jun 02, 2018 22:12Philip Alston, Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya umasikini amesema kuwa, siasa na hatua za Rais Donald Trump wa Marekani, zimesababisha kuongezeka dhulma ya kiuchumi nchini humo.
-
Baraza la Usalama la UN: Haiwezekani kuupuuza mzingiro wa miaka 10 dhidi ya Gaza
May 31, 2018 03:01Wawakilishi wa nchi wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamesema muongo mzima wa mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza na jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni ni mambo ambayo hayawezi kupuuzwa.