-
Umoja wa Mataifa waikosoa Burundi kwa kutishia maafisa wake
Nov 21, 2017 23:35Ofisi ya masuala ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imeikosoa vikali serikali ya Burundi kwa kuwatishia wataalamu wa uchunguzi wa umoja huo.
-
Taasisi 35 za Kimataifa zataka Umoja wa Mataifa uwasiadie Waislamu wa Myanmar
Nov 21, 2017 04:19Taasisi 35 za kimataifa zimeuandikia barua Umoja wa Mataifa zikitaka kuitishwe kikao cha dharura kujadili hali mbaya ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar ambao wanakabiliwa na mauaji ya umati.
-
Tanzania yalaumiwa vikali kwa kutopigia kura azimio la UN la kutetea Waislamu wa Myanmar
Nov 20, 2017 04:22Mbunge mashuhuri katika bunge la Tanzania ameikosoa vikali serikali ya nchi hiyo kwa hatua yake ya kutopigia kura azimio la Umoja wa Mataifa linalotaka serikali ya Myanmar ikomeshe operesheni za kijeshi zinazolenga kukandamiza jamii ya wachache ya Waislamu Warohingya nchini humo.
-
UN: Kitendo cha EU kuisaidia Libya kuwazuilia wakimbizi sio cha kibinadamu
Nov 15, 2017 03:53Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema sera ya Umoja wa Ulaya ya kuwasaidia maafisa wa serikali ya Libya kuwazuilia wakimbizi wanaotaka kwenda Ulaya kupitia safari hatari za baharini ni kitendo kisicho cha ubinadamu.
-
Zarif amwandikia barua Katibu Mkuu wa UN; Hali ya Yemen ni mbaya sana
Nov 14, 2017 03:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana usiku alimuandikia barua Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akisema kuwa hali ya mambo nchini Yemen ni mbaya sana na inatia wasiwasi mkubwa; hiyo ikiwa ni natija ya uvamizi wa kijeshi na kuzingirwa pande zote nchi hiyo na utawala wa kidikteta wa Saudi Arabia.
-
EU na UN zatilia mkazo ulazima wa kufikiwa maeneo yaliyoathiriwa na vita Yemen
Nov 13, 2017 00:48Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya anayehusika na misaada ya kibinadamu amesema kuwa mazingira ya kufikishwa misaada zaidi katika maeneo yaliyoathiriwa na vita huko Yemen yanapasa kuandaliwa kwa kuzingatia hali mbaya inayoisibu nchi hiyo.
-
UN yaanza kuwahamisha wakimbizi wa Kiafrika kutoka Libya hadi Niger
Nov 12, 2017 10:42Umoja wa Mataifa umeanza zoezi la kuwahamisha wakimbizi wa nchi za Afrika walioko Libya na kuwapeleka nchini Niger.
-
Umoja wa Mataifa wataka kukamatwa watu waliouwa wataalamu wake Congo DR
Nov 10, 2017 00:50Umoja wa Mataifa umeitaka serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutoa ushirikiano katika jitihada za kuweka wazi kadhia ya mauaji ya wataalamu wake wawili nchini humo.
-
UN: Saudia inazuia kufikishwa misaada ya kibinadamu kwa Wayemen
Nov 07, 2017 04:46Umoja wa Mataifa umesema hatua ya Saudi Arabia kufunga mipaka ya ardhini, angani na baharini ya Yemen imepelekea umoja huo ushindwe kufikisha misaada ya kibinadamu kwa ajili ya wananchi wanaosumbuliwa na njaa wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Guterres: Umoja wa Mataifa umeazimia kulinda mazingira
Nov 06, 2017 09:21Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza kuhusu azma ya umoja huo ya kulinda mazingira duniani.