-
Kwa nini zaidi ya wanadiplomasia 200 wa Ulaya wanaukosoa Umoja wa Ulaya kwa kutochukua hatua kuhusu vita vya Gaza?
Aug 29, 2025 10:03Idadi kubwa ya wanadiplomasia wakuu wa zamani wa Ulaya wametaka Umoja wa Ulaya au nchi wanachama wachukue hatua za haraka kuhusiana na vita vya utawala wa Kizayuni huko Gaza na hatua zake zilizo kinyume cha sheria katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Aliyeua watoto kwa bunduki katika skuli ya kanisa Marekani ni mwanamume aliyebadilisha jinsia
Aug 28, 2025 06:06Mshambuliaji aliyefyatulia risasi kanisa katika skuli ya kikatoliki kusini mwa mji wa Minneapolis nchini Marekani jana Jumatano na kuua na kujeruhi watu kadhaa ametambuliwa na gazeti la The New York Post kama Robin Westman. Kwa mujibu wa gazeti hilo, inasemekana Westman alibadilisha jina lake la Robert na kuwa Robin mwaka 2020 na kujitambulisha kama mwanamke.
-
Zaidi ya mabalozi 206 wa zamani wa EU wataka Israel ichukuliwe hatua kali
Aug 27, 2025 02:28Zaidi ya mabalozi 200 wa zamani wa Umoja wa Ulaya na maafisa wa ngazi ya juu jana Jumanne waliituhumu Brussels kwa kushindwa kuchukua hatua za kukabiliana na hali mbaya ya binadamu katika Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Iran na Ulaya kuendelea na mazungumzo ya nyuklia mjini Geneva
Aug 25, 2025 10:33Iran na nchi tatu zenye nguvu za Ulaya - Ujerumani, Ufaransa na Uingereza - zinatazamiwa kuanza tena mazungumzo ya nyuklia huko Geneva, Uswisi siku ya Jumanne, yakiangazia maswala ya nyuklia na uondoaji wa vikwazo.
-
Iran yaionya Ulaya juu ya matokeo mabaya ya kuamilisha 'snapback'
Aug 23, 2025 06:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi ameionya Ulaya juu ya matokeo mabaya ya kuamilisha "utaratibu wa snapback", akisisitiza kwamba Troika ya Ulaya (Uingereza, Ufaransa, na Ujerumani) pamoja na Umoja wa Ulaya hazina haki ya kisheria na ya kimaadili ya kutumia utaratibu huo.
-
Kamishna wa EU atahadharisha kuhusu mpango wa Israel wa kupanua mashambulizi yake huko Gaza
Aug 10, 2025 08:50Hadja Lahbib Kamishna wa Umoja wa Ulaya anayehusika na masuala ya usawa, maandalizi na ufuatiliaji wa migogoro ameeleza kuwa uamuzi wa utawala wa Israel wa kupanua mashambulizi yake ya kijeshi huko Gaza utashadidisha zaidi hali ya kibinadamu katika eneo hilo na kuhatarisha maisha ya mateka waliosalia.
-
Swali la Leo: Je, kauli ya Kaja Kallas Kwamba “Machaguo Yote Yako Mezani Dhidi ya Israel” ina mashiko yoyote?
Jul 24, 2025 10:50Kaja Kallas, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, amedai kuwa “mauaji ya raia wasio na hatia wa Kipalestina lazima yakome,” la sivyo, “Machaguo Yote Yatazingatiwa dhidi ya Israel.”
-
Iran, Troika ya Ulaya kuendelea na mazungumzo ya nyuklia wiki ijayo?
Jul 20, 2025 16:00Iran na Troika ya Ulaya - Ufaransa, Ujerumani, na Uingereza - zimeripotiwa kukubaliana msingi wa kuanza tena mazungumzo ya nyuklia wiki ijayo.
-
Sababu za India kupinga sera za kindumakuwili za EU ni zipi?
Jul 19, 2025 09:38Wizara ya Mambo ya Nje ya India imepinga vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia na kiwanda cha kusafisha mafuta cha India na pia "sera za kindumakuwili" za umoja huo katika uga wa biashara ya nishati.
-
Nini lengo la Umoja wa Ulaya katika kuzidisha vikwazo dhidi ya Iran?
Jul 17, 2025 02:35Umoja wa Ulaya, ukifuata nyayo za Marekani, umeendeleza siasa za kuzidisha mashinikizo dhidi ya Iran katika nyanja mbalimbali katika muhula wa pili wa uongozi wa Donald Trump kwa shabaha ya kuilazimisha Tehran isalimu amri mbele ya matakwa ya kupindukia mipaka ya nchi za Magharibi.