Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • Kutekelezwa vikwazo mpya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia

    Kutekelezwa vikwazo mpya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia

    Aug 06, 2017 23:14

    Umoja wa Ulaya umeanza kutekeleza vikwazo vipya dhidi ya Russia kuhusiana na mzozo wa peninsula ya Crimea.

  • Suala la Brexit laendelea kuzusha mivutano na hitilafu katika serikali ya Uingereza

    Suala la Brexit laendelea kuzusha mivutano na hitilafu katika serikali ya Uingereza

    Jul 31, 2017 09:50

    Hitilafu kati ya mawaziri wa serikali ya Uingereza kuhusu suala la kujiondoa nchi hiyo katika Umoja wa Ulaya (Brexit) zimeendelea kutokota baada ya Waziri wa Biashara ya Kimataifa wa nchi hiyo kupinga wazo lililotolewa na Waziri wa Fedha kwamba kuna ulazima wa kuainisha kipindi cha mpito nchini humo.

  • Mkuu wa Sera za Nje wa EU: Quds ya Mashariki haitenganishiki na Palestina

    Mkuu wa Sera za Nje wa EU: Quds ya Mashariki haitenganishiki na Palestina

    Jul 29, 2017 03:22

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema Baitul Muqaddas Mashariki ni sehemu isiyotenganishika na Palestina.

  • EU haitatuma timu ya waangalizi wa uchaguzi nchini Angola

    EU haitatuma timu ya waangalizi wa uchaguzi nchini Angola

    Jul 28, 2017 21:52

    Umoja wa Ulaya umefuta mpango wa kutuma timu ya waangalizi wake katika uchaguzi wa Angola unaofanyika mwezi ujao, baada ya serikali ya Luanda kutokubali baadhi ya masharti yake.

  • Japan: Suala la kuzunguza na Korea Kaskazini limepitwa na wakati

    Japan: Suala la kuzunguza na Korea Kaskazini limepitwa na wakati

    Jul 18, 2017 21:57

    Msemaji wa serikali ya Japan, Norio Maruyama ametaka kuzidishwa mashinikizo dhidi ya Korea Kaskazini akisema kuwa muda wa kufanya mazungumzo na nchi hiyo umepita.

  • EU yaonya uwezekano wa kutokea machafuko ya uchaguzi nchini Kenya

    EU yaonya uwezekano wa kutokea machafuko ya uchaguzi nchini Kenya

    Jul 03, 2017 10:48

    Umoja wa Ulaya umeonya kuhusu uwezekano wa kutokea machafuko ya uchaguzi nchini Kenya na kusema kuwa, umetuma timu yake ya kwanza ya wasimamiaji wa uchaguzi nchini humo.

  • Umoja wa Ulaya wasisitiza kuendelea kushirikiana na DRC

    Umoja wa Ulaya wasisitiza kuendelea kushirikiana na DRC

    Jun 18, 2017 23:03

    Umoja wa Ulaya umesisitiza kuwa, utaendelea kushirikiana na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kwamba, vikwazo vya umoja huo dhidi ya baadhi ya viongozi wa nchi hiyo havitaathiri ushirikiano wa pande mbili.

  • Umoja wa Ulaya wakosoa kuendelea ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Umoja wa Ulaya wakosoa kuendelea ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Jun 10, 2017 03:11

    Umoja wa Ulaya umekosoa mwenendo wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika maeneo ya Wapalestina.

  • UN na EU zalaani mashambulio ya kigaidi ya Tehran, Baraza la Usalama la UN latoa heshima kwa waliouawa

    UN na EU zalaani mashambulio ya kigaidi ya Tehran, Baraza la Usalama la UN latoa heshima kwa waliouawa

    Jun 07, 2017 11:09

    Mratibu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa hapa nchini na Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya wamelaani mashambulio ya kigaidi yaliyotokea leo hapa mjini Tehran.

  • Mtazamo wa Umoja wa Ulaya kwa ajili ya kuimarisha ushirikiano na bara la Afrika

    Mtazamo wa Umoja wa Ulaya kwa ajili ya kuimarisha ushirikiano na bara la Afrika

    Jun 05, 2017 22:42

    Akizungumza hivi karibuni katika kikao cha 51 cha Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika ECOWAS huko Monrovia mji mkuu wa Liberia, Federica Mogherini, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, amesema kuwa ushirikiano wa umoja huo na bara la Afrika una umuhimu mkubwa kwa ajili ya kudhamini amani na usalama barani humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS