-
Kushadidi ukandamizaji nchini Bahrain wakati wa kukaribia uchaguzi wa kimaigizo wa Aal-Khalifa
Nov 21, 2018 13:50Matukio yanayoripotiwa kutoka nchini Bahrain yanabainisha kushadidi anga ya ukandamizaji nchini humo wakati huu wa kukaribia uchaguzi wa kiagizo wa Bunge katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Kushtadi malalamiko ya wananchi wa Bahrain wakipinga uchaguzi wa bunge wa kimaonyesho
Nov 18, 2018 14:05Wananchi wa Bahrain kwa mara nyingine tena wamefanya maandamano wakilalamikia siasa za ukandamizaji za utawala wa Aal Khalifa na uchaguzi wa bunge wa kimaonyesho.
-
Al-Wifaq ya Bahrain yalaani hukumu ya kifungo cha maisha jela dhidi ya Sheikh Ali Salman
Nov 04, 2018 15:47Harakati ya Al-Wifaq nchini Bahrain imelaani hukumu ya kifungo cha maisha jela iliyotolewa dhidi ya Katibu Mkuu wake Sheikh Ali Salman.
-
Wimbi jipya la hukumu za vifo na vifungo dhidi ya wapinzani nchini Bahrain
Oct 31, 2018 08:23Mahakama ya Rufaa ya Bahrain imetoa hukumu ya kifo dhidi ya wapinzani wawili wa serikali ya nchi hiyo kwa tuhuma za kuhusika na ugaidi. Mahakama hiyo pia imewahukumu watu wengine 20 hukumu ya vifungo vya baina ya miezi 6 na miaka 25, na wengine 9 wamenyang'anywa uraia.
-
Watoto 30 wanaoshikiliwa na utawala wa Bahrain wadhuriwa na chakula kilichoharibika
Oct 18, 2018 07:54Duru za habari nchini Bahrain zimeripoti kwamba utawala wa Aal-Khalifa umewapa chakula kilichoharibika watoto 30 unaowashikilia katika jela huku wasimamizi wake wakikataa kuwapeleka hospitali kwa ajili ya kuwapatia matibabu.
-
Wabahrain waandamana wakitaka kususiwa uchaguzi
Oct 12, 2018 16:51Idadi kubwa ya wananchi wa Bahrain leo wamefanya maandamano kuunga mkono uamuzi wa maulamaa wa nchi hiyo waliotaka kususiwa uchaguzi wa kimaonyesho wa utawala wa Aal Khalifa.
-
Utawala wa Aal Khalifa wavunja rekodi ya ukiukaji haki za binadamu nchini Bahrain
Oct 06, 2018 03:49Jumuiya ya haki za binadamu nchini Bahrain imetangaza kuwa katika mwezi mmoja tu wa Julai mwaka huu wa 2018, utawala wa Aal Khalifa umechukua hatua 844 za ukiukaji haki za binadamu dhidi ya raia wa nchi hiyo.
-
Kuhitimishwa utawala wa kikabila wa Aal Khalifa ndio njia ya ufumbuzi wa mgogoro wa Bahrain
Oct 03, 2018 07:30Hassan Qambar mwanaharakati wa masuala ya vyombo vya habari amesema kuwa kuhitimishwa utawala wa kikabila wa Aal Khalifa wa Bahrain na kuundwa Baraza la Waasisi kutakuwa suluhisho kwa mgogoro wa sasa na kuondoka katika mkwamo wa kisiasa nchinii humo.
-
Wabahrain waandamana kulaani marufuku ya Sala ya Ijumaa iliyowekwa na utawala wa Aal-Khalifa
Sep 28, 2018 14:29Waislamu wa Kishia nchini Bahrain wameandamana tena leo na kukusanyika kando kando ya Msikiti wa Imam Swadiq (AS) katika eneo la Diraz ambapo sambamba na kutangaza uungaji mkono wao kwa Sheikh Issa Qassim mwanazuoni mashuhuri wa nchi hiyo wamelaani marufuku ya Sala ya Ijumaa iliyowekwa katika eneo hilo.
-
Taasisi ya Haki za Binadamu ya Reprieve: Wabahraini 21 wanakaribia kunyongwa
Sep 06, 2018 07:43Taasisi ya Kutetea Haki za Binadamu ya Reprieve jana ilitangaza kuwa Wabahraini 21 ambao wengi ni wafungwa wa kisiasa wanakaribia kunyongwa.