-
Wananchi wa Bahrain waendelea kupinga siasa za utawala wa Aal Khalifa
Aug 27, 2018 23:02Wananchi wa Bahrain wameendelea kufanya maandamano wakipaza sauti za kupinga siasa za utawala wa kifamilia wa Aal Khalifa.
-
Utawala wa Aal Khalifa waendelea kubomoa misikiti ya Waislamu wa Bahrain
Aug 07, 2018 10:03Utawala wa Aal Khalifa umeendeleza hatua kandamizi dhidi ya Waislamu wa Kishia nchini Bahrain kwa kuubomoa tena msikiti mwengine wa Waislamu hao.
-
Sheikh Issa Qassim apelekwa uwanja wa ndege Bahrain ili kusafirishwa nje kwa matibabu
Jul 09, 2018 03:42Sheikh Issa Qassim mwanazuoni mtajika wa Kiislamu wa nchini Bahrain amepelekwa uwanja wa ndege akiwa katika gari ya wagonjwa ili kusafirishwa nje ya nchi kwa ajili ya matibabu.
-
Utawala wa Aal Khalifa unaratibu mipango ya kuwauwa viongozi wanamapinduzi
Jul 01, 2018 09:28Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya al Amal ya Bahrain ameeleza kuwa utawala wa Aal Khalifa unaratibu mipango ya kuwauwa viongozi wanamapinduzi wa nchi hiyo.
-
Al Wifaq: Utawala wa Bahrain unahusika na kuharibika afya ya Sheikh Issa Qassim
Jun 25, 2018 23:50Jumuiya ya Kiislamu ya al Wifaq ya Bahrain imetoa taarifa na kutangaza kuwa utawala wa Bahrain ukiongozwa na mfalme wa nchi hiyo kwa pamoja wanahusika katika kuwa mbaya hali ya kiafya ya Sheikh Issa Qassim mwanazuoni mtajika wa nchi hiyo.
-
Utawala wa Aal-Khalifa wawazuia wafungwa kushiriki ibada za mwezi wa Ramadhani
Jun 06, 2018 10:12Taasisi ya 'Amani kwa ajili ya Demokrasia na Haki za Binaadamu' nchini Bahrain imetangaza kwamba, utawala wa kidikteta wa Aal-Khalifa umewaweka wafungwa wa kisiasa nchini humo katika seli za mtu mmoja kwa kosa la kujumuika pamoja kwenye ibada za mikesha ya Lailatul-Qadr.
-
Jumuiya ya Haki za Binadamu Bahrain: Sheria ya kupambana na ugaidi ni wenzo wa kuwakandamiza raia
May 17, 2018 23:48Jumuiya ya Haki za Binaadamu nchini Bahrain imesema kuwa, sheria ya kupambana na ugaidi inayotekelezwa nchini humo ni wenzo unaotumiwa na utawala wa Aal Khalifa kwa ajili ya kuwakandamiza raia wasio na hatia.
-
Al-Wefaq ya Bahrain: Hatua ya utawala wa Aal-Khalifa kujipendekeza kwa Israel inatia aibu
May 12, 2018 22:18Harakati ya Kitaifa ya Al-Wefaq ya nchini Bahrain imesema kuwa, matamshi ya Khalid bin Ahmed Al Khalifa, Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain katika kuunga mkono utawala haramu wa Kizayuni, ni ya kufedhehesha na anatakiwa kuliomba radhi taifa sambamba na kujiuzulu.
-
Utawala wa Bahrain wawahukumu watu sita adhabu ya kifo kwa tuhuma bandia
Apr 25, 2018 23:16Mahkama ya rufaa ya kijeshi nchini Bahrain, imetoa hukumu ya adhabu ya kifo dhidi ya raia sita wa nchi hiyo kwa tuhuma bandia kwamba walijaribu kupanga shambulizi dhidi ya kamanda wa vikosi vya ulinzi nchini humo.
-
Al Wifaq yasisitiza kuachiwa huru wanawake wanaoshikiliwa katika jela za utawala wa Aal Khalifa
Apr 12, 2018 02:47Jumuiya ya Kiislamu ya al Wifaq ya nchini Bahrain imetaka kuachiwa huru wanawake waliofungwa katika jela za utawala wa Aal Khalifa ambao walitiwa mbaroni kwa sababu tu ya kuwasilisha maoni na fikra zao.