-
Kuongezeka changamoto za Saudia Arabia kutokana na siasa zake mbovu
Jun 29, 2017 04:10Habari zinaeleza kuongezeka kwa changamoto zinazoikabili Saudi Arabia kutokana na siasa mbovu na za kichokozi zinazotekelezwa na watawala wa nchi hiyo katika eneo.
-
Mohsen Rezaee: Ni miaka 40 sasa ambapo Aal-Saud wanaendesha njama chafu dhidi ya Iran
Jun 15, 2017 04:37Katibu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran, Mohsen Rezaee amesema kuwa, watawala wa Aal-Saud nchini Saudia walidhihirisha uadui na chuki yao dhidi ya raia wa taifa la Iran tangu miaka 40 iliyopita na kwamba, kila mara kumekuwa kukifichuliwa njama zao chafu dhidi ya taifa hili.
-
Utumiaji wa dini kwa malengo ya kisiasa, sura ya pamoja ya utawala wa Aal Saud na Israel
Jun 13, 2017 07:56Moja kati ya mambo yanayozikutanisha pamoja tawala za Aal Saudi huko Saudi Arabia na ule wa Kizayuni wa Israel ni kutumia dini, ibada na maeneo ya kidini kwa ajili ya kufikia malengo ya kisiasa.
-
Ansarullah Yemen: Saudia inataka kuwa polisi wa Marekani katika Mashariki ya Kati
Jun 08, 2017 02:26Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, utawala wa Aal Saud wa Saudi Arabia umekuwa ukifanya kila uwezalo ili uwe polisi ya Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati na uwe ukizichukulia maamuzi tawala zote za Kiarabu.
-
Kushadidi ukandamizaji na utumiaji mabavu wa utawala wa Aal Saud nchini Saudi Arabia
Jun 04, 2017 07:31Ripoti kutoka Saudi Arabia zinaonyesha juu ya kuanza duru mpya ya mashambulio na hujuma za utawala wa Aal Saud dhidi ya wananchi wa nchi hiyo.
-
Kuendelea mauaji dhidi ya Waislamu wa Kishia nchini Saudi Arabia
May 19, 2017 07:38Vyombo vya habari vimeripoti habari ya kuuawa kijana mmoja nchini Saudi Arabia kufuatia hujuma ya jeshi la utawala wa Aal Saud katika kijiji cha al-Awamiyah mashariki mwa nchi hiyo.
-
Askari wa Saudia waendeleza ukandamizaji katika maeneo ya Waislamu wa Shia, mashariki mwa nchi
May 13, 2017 02:33Askari wa utawala wa Saudia wameendeleza ukandamizaji na jinai mbalimbali katika eneo la Al-Awamia, mashariki mwa nchi, ikiwa ni pamoja na kuyatia moto makazi ya raia na kushadidisha mzingiro katika eneo hilo.
-
UN yaionya Saudia dhidi ya kushambulia kwa mabomu bandari ya Yemen
Apr 20, 2017 14:13Umoja wa Mataifa umeutaka muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia usishambulie kwa mabomu bandari ya kistaratejia ya Yemen.
-
Yemen: Tumeorodhesha jinai zote za Saudia ili kuziwasilisha mahakama za kimataifa
Apr 15, 2017 02:29Mwendesha mashtaka mkuu nchini Yemen amesema kuwa, jinai za Aal Saud inazozifanya nchini humo kupitia mashambulizi yake ya kila upande, zimeorodheshwa kwa ajili ya kuwasilishwa katika mahakama za kimataifa.
-
Kugharamika kijeshi Aal Saud na kubebeshwa raia mzigo wa kubana gharama za kiuchumi
Nov 10, 2016 07:06Saudi Arabia inaendelea kutumia gharama kubwa za fedha kwa ajili ya sera za kijeshi huku ikiamua kutekeleza sera ya kubana matumizi kiuchumi katika sekta za ujenzi na ushughulikiaji hali za maisha ya raia.