-
Wanaharakati wa haki za binadamu waandamana Ubelgiji dhidi ya Aal Saud
Oct 31, 2016 04:25Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wameandamana mbelel ya ubalozi wa Saudi Arabia huko Brussels mji mkuu wa Ubelgiji kulalamikia na kupinga jinai za utawala wa Aal Saud.
-
Qazi-Askari aukosoa Umoja wa Mataifa kwa kunyamazia jinai za Saudia
Sep 23, 2016 08:17Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya Hija ameukosoa vikali Umoja wa Mataifa kutokana na kufumbia kwake macho jinai za utawala wa Saudi Arabia.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa Hija; ukumbusho wa jinai za Aal Saud
Sep 06, 2016 06:44Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu jana Jumatatu alituma ujumbe maalumu kwa mnasaba wa ibada adhimu ya Hija na kueleza kwamba msimu wa Hija kwa Waislamu ni msimu wa kujivunia na wa adhama mbele ya macho ya viumbe; na ni msimu wa kunawirisha nyoyo na kudhihirisha khushuu na unyenyekevu mbele ya Muumba.
-
Sheikh Nabil Qaouk: Saudi Arabia haina ubavu wa kukabiliana na Hizbullah
Aug 09, 2016 04:28Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Hizbullah ya Lebanon kwa mara nyingine tena amekosoa vikali siasa za kuharibu mambo za utawala wa Saudi Arabia katika Mashariki ya Kati.
-
Ayatullah Kashani: Marekani, Saudia na Israel ni waungaji mkono wakubwa wa ugaidi
Jul 15, 2016 16:07Hatibu wa Swala ya Ijumaa hapa Tehran amesema kuwa Marekani, Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel ni waungaji mkono wakubwa wa ugaidi duniani.
-
Utawala wa Saudia wamkamata mwanazuoni mkubwa wa Kishia
Jul 12, 2016 17:02Saudi Arabia imemkamata mwanazuoni mkubwa wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo, huku utawala huo wa kifalme ukiendelea kubana harakati za kidini za raia wa maeneo ya mashariki yenye utajiri mkubwa wa mafuta.
-
Baraza la Kimataifa la Ahlul Bayt (as): Hatua ya Aal Saud ni ya kufuru
May 31, 2016 15:35Baraza la Kimataifa la Ahlul Bayt (as) limetoa taarifa na kutangaza kuwa utawala wa Aal Saud umefanya kitendo cha kufuru kuwazuia mahujaji wa Kiirani wasifanye safari ya kwenda kutekeleza ibada ya Hija.
-
Shamkhani: Aal Saudi wamewazuia Wairani kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu
May 31, 2016 04:18Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ukoo wa Aal Saud ndio uliowazuia Wairani wasitekeleze amali za Hija yenye izza na heshima.
-
Kongamano la kupinga utawala wa Aal Saudi lafanyika nchini Syria
May 17, 2016 07:52Shakhsia kadhaa wa kidini na kisiasa kutoka nchi kadhaa za eneo la Mashariki ya Kati wameshiriki kongamano la kuchunguza jinai za utawala wa Aal Saudi lililofanyika katika mji mkuu wa Syria Damascus.
-
Saudi Arabia yaendelea kutenda jinai dhidi ya wananchi wa Yemen
Apr 02, 2016 04:40ndege za kijeshi za Saudi Arabia cimeendelea kufanya mashambulio katika maeneo mbalimbali ya Yemen.