-
Qatar imewanasa majasusi kadhaa wa Israel raia wa India
Nov 10, 2022 23:39Shirika la Intelijensia la Qatar limewakamata maafisa wanane wa zamani wa Jeshi la Wanamaji wa India nchini Qatar wanaoshukiwa kufanya ujasusi kwa manufaa ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Utawala wa Kizayuni wakataa kukabidhi maiti za Wapalestina 10 waliouawa shahidi
Nov 10, 2022 23:37Kamati inayoshughulikia masuala ya Wapalestina wanaoshikiliwa kwenye magereza ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuwa utawala huo ghasibu unaendelea kuzuia viwiliwili vya Wapalestina kumi waliouawa shahidi.
-
Nguvu za Muqawama; sababu kuu ya kutiwa saini makubalino ya mipaka ya baharini
Nov 10, 2022 05:20Hivi karibuni, Lebanon na utawala wa Kizayuni wa Israel zilitiliana saini makubaliano ya mpaka wa baharini kwa upatanishi wa Marekani. Hivi sasa lakini Benjamin Netanyahu anadai kuwa hatoheshimu makubaliao hayo.
-
Ripoti: Tel Aviv inatumia "mbinu za kimafia" dhidi ya makundi ya haki za binadamu ya Palestina
Nov 08, 2022 23:18Shirika la kutetea haki za binadamu la Palestina limesema katika ripoti yake kwa kamati ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kwamba Israel inatumia vitisho na mbinu za kimafia kuyanyamazisha mashirika ya kutetea haki za binadamu.
-
Jordan yaonya kuhusu hatua za Israel za kuzusha mizozo Palestina
Nov 06, 2022 23:14Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jordan ameonya kuhusiana na hatua za utawala haramu za Israel za kuzusha mivutano na mifarakano dhidi ya Wapalestina.
-
Amir Abdollahian: Israel ina matatizo chungu nzima ya kiuchumi na kisiasa
Nov 05, 2022 22:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo yake na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa serikali ya Palestina kwamba utawala wa Kizayuni hivi sasa una matatizo chungu nzima ya kiuchumi na kisiasa.
-
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu yasisitiza kuunga mkono haki za Wapalestina
Nov 02, 2022 10:10Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imesisitiza kuendelea kutetea na kuuunga mkono haki za wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Qatar yataka kuhitimishwa ukaliaji mabavu wa utawala wa Kizayuni
Nov 02, 2022 04:29Mwakilishi wa Kudumu wa Qatar katika Umoja wa Mataifa leo asubuhi amehutubia katika kikao cha kiduru cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kusema: Israel inapasa kuhitimisha hatua zake za kuzikalia kwa mabavu ardhi za Waarabu ikiwemo miinuko ya Golan huko Syria, ardhi za Lebanon na Palestina.
-
Ulazima wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kujiunga na mkataba wa NPT
Nov 01, 2022 22:53Kamati ya Kwanza ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imepasisha kwa wingi wa kura muswada wa Misri unaoelezea ulazima wa utawala haramu wa Israel kujiunga na Mkataba wa Kuzuia Uzalishaji na Usambazaji wa Silaha za Atomiki (NPT).
-
Iran yakosoa misimamo ya Baraza la Usalama la UN kuhusu uhalifu wa Israel
Oct 30, 2022 04:45Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amelikosoa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kusisitiza kuwa: Mwelekeo wa sasa na usio na tija wa Baraza la Usalama la Uumoja huo unaupa moyo na kuuhamasisha utawala wa Kizayuni katika kadhia ya Palestina.