Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Safari ya kieneo ya Mike Pompeo; juhudi za kuupa uhalali utawala wa Kizayuni wa Israel

    Safari ya kieneo ya Mike Pompeo; juhudi za kuupa uhalali utawala wa Kizayuni wa Israel

    Aug 25, 2020 07:49

    Katika kipindi cha uongozi wa Rais Donal Trump nchini Marekani, nchi hiyo imefanya mambo na kuchukua hatua ambazo hazijawahi kushuhudiwa huko nyuma kwa maslahi ya utawala haramu wa Israel.

  • Wanaharakati wa Imarati wapinga hatua ya serikali ya nchi hiyo ya kufikia mapatano na utawala wa Kizayuni

    Wanaharakati wa Imarati wapinga hatua ya serikali ya nchi hiyo ya kufikia mapatano na utawala wa Kizayuni

    Aug 20, 2020 19:38

    Wanaharakati wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) wameyataja mapatano yaliyofikiwa kati ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya pande mbili kuwa ni kukiuka katiba na na kupuuza msimamo wa viongozi wa mwanzo wa Imarati katika kuinga mkono Palestina.

  • HAMAS: Tutatumia nyenzo zote kwa ajili ya kuusambaratisha mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza

    HAMAS: Tutatumia nyenzo zote kwa ajili ya kuusambaratisha mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza

    Aug 19, 2020 22:03

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, harakati hiyo ya muqawama itatumia suhula na nyenzo zote ili kuusambaratisha mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza.

  • HAMAS yaomba mabunge na viongozi wa dunia waisaidie na kuiunga mkono Palestina

    HAMAS yaomba mabunge na viongozi wa dunia waisaidie na kuiunga mkono Palestina

    Aug 19, 2020 06:27

    Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ameyataka mabunge duniani pamoja na viongozi wa kisiasa watoe msaada na uungaji mkono kwa kadhia ya Palestina kwa ajili ya kukabiliana na njama za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Imran Khan: Pakistan kamwe haitautambua rasmi utawala haramu wa Israel

    Imran Khan: Pakistan kamwe haitautambua rasmi utawala haramu wa Israel

    Aug 19, 2020 05:26

    Waziri Mkuu wa Pakistan amesema kuwa nchi yake kamwe haitautambua rasmi utawala haramu wa Israel.

  • Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zashambulia Ukanda wa Ghaza

    Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zashambulia Ukanda wa Ghaza

    Aug 18, 2020 03:00

    Ndege za kivita za utawala haramu wa Kizayuni leo asubuhi zimeshambulia ngome za harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika Ukanda wa Ghaza.

  • Taathira za kiusalama za ‘makubaliano ya usaliti’ ya Israel na Imarati

    Taathira za kiusalama za ‘makubaliano ya usaliti’ ya Israel na Imarati

    Aug 17, 2020 02:08

    Makubaliano ya hiana na usaliti ya Imarati na utawala dhalimu wa Israel ya kuanzisha uhusiano rasmi wa kidiplomasia baina yao yatakuwa na matokeo na taathira tofauti katika uga wa usalama.

  • Jumatatu tarehe 17 Agosti mwaka 2020

    Jumatatu tarehe 17 Agosti mwaka 2020

    Aug 16, 2020 21:58

    Leo ni Jumatatu tarehe 27 Dhulhija 1441 Hijria sawa na Agosti 17 mwaka 2020.

  • Palestina yamrejesha nyumbani balozi wake Abu Dhabi baada ya Imarati kuanzisha uhusiano na Israel

    Palestina yamrejesha nyumbani balozi wake Abu Dhabi baada ya Imarati kuanzisha uhusiano na Israel

    Aug 14, 2020 05:04

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametangaza kuwa balozi wa Palestina mjini Abu Dhabi ameitwa nyumbani kulalamikia hatua ya Imarati ya kuanzisha rasmi uhusiano wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel.

  • Mapatano ya aibu na usaliti kati ya Imarati na utawala wa Kizayuni

    Mapatano ya aibu na usaliti kati ya Imarati na utawala wa Kizayuni

    Aug 14, 2020 04:29

    Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati, utawala ghasibu wa Israel na Marekani zimetoa taarifa ya pamoja zikitangaza kwamba Imarati na utawala haramu wa Israel zimefikia mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida baina yazo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS