-
Siku ya Kimataifa ya Quds, siku ya ushindi wa heshima dhidi ya udhalili
May 20, 2020 22:33Miaka 41 iliyopita, Imam Khomeini, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliitangaza Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwa ni Siku ya Kimataifa ya Quds.
-
Palestina yafuta makubaliano yote iliyofikia na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel
May 19, 2020 22:36Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amefuta makubaliano yote yaliyofikiwa kati ya mamlaka hiyo na Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Mapambano ni njia pekee ya Wapalestina kujibu jinai za Wazayuni
May 18, 2020 05:56Huku Siku ya Kimataifa ya Quds ikikaribia, Wapalestina wanaoishi katika Ukanda wa Ghaza wamefanya maandamano na kusisitiza kwamba mapambano na muqawama wa pande zote ndio njia pekee ya kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kamati ya Bunge la Iran yaidhinisha muswada dhidi ya utawala wa Kizayuni
May 18, 2020 05:30Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni katika Majlisi ya Ushauri ya Kiisalmu (Bunge la Iran) imeidhinisha muswada wa namna ambavyo Iran itakabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika upeo wa kitaifa na kimataifa.
-
Onyo la Pompeo kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC katika kuunga mkono utawala wa Israel
May 18, 2020 04:55Tokea aingie madarakani huko White House, Rais Doland Trump amekuwa akichukua hatua zenye utata mkubwa katika kuunga mkono bila masharti yoyote, utawala ghasibu wa Israel kwa madhara ya taifa madhlumu la Palestina, jambo ambalo marais wengine wa zamani wa Marekani walijiepusha kulitekeleza hadharani.
-
Jumuiya ya Maulamaa wa Kiislamu: Marekani inabeba jukumu la uvamizi mpya wa Israel dhidi ya ardhi za Palestina
May 17, 2020 07:54Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu imetangaza kuwa, serikali ya Marekani inabeba dhima ya mipango ya utawala haramu wa Israel ya kupora na kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Jihadul Islami: Haki ya taifa la Palestina si ya kupigwa mnada
May 15, 2020 21:59Harakati ya Muqawama ya Jihadul-Islami ya Palestina imesema kwamba, haki ya taifa la Palestina si ya kupigwa mnada wala kutolewa zawadi na kwamba na njia pekee ya kufikia usalama, ni kuondoka wavamizi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina.
-
Alkhamis, tarehe 14 Mei, 2020
May 14, 2020 12:38Leo ni Alkhamisi tarehe 20 Ramadhani 1441 Hijria, sawa na tarehe 14 Mei, 2020 Miladia.
-
Ziara ya Pompeo katika ardhi za Palestina na malengo yake kadhaa
May 13, 2020 23:20Uhusiano wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel umepanuka sana kwa namna ambayo haijawahi kutokea katika wakati huu wa urais wa Donald Trump huko Marekani ambaye amechukua hatua nyingi za kutekeleza kivitendo matakwa haramu ya 'Israel.'
-
Wazayuni waandamana wakishinikiza kupandishwa kizimbani Benjamin Netanyahu
May 10, 2020 03:12Mamia ya wakazi wa Tel Aviv, mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya maandamano mjini humo kupinga Baraza la Mawaziri lililoundwa na Benjamin Netanyahu na kushinikiza kupandishwa kizimbari waziri mkuu huyo wa utawala pandikizi wa Kizayuni.