Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Jordan yatahadharisha dhidi ya Marekani kubadili msimamo kuhusu vitongoji vya utawala wa Kizayuni

    Jordan yatahadharisha dhidi ya Marekani kubadili msimamo kuhusu vitongoji vya utawala wa Kizayuni

    Nov 19, 2019 23:00

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jordan Ayman Safadi ametahadharisha kitendo cha Marekani kubadili msimamo wake kuhusiana na ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni unaofanywa na utawala haramu wa Israel katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kukitaja kitendo hicho kuwa hatari.

  • Hamas: Silaha za muqawama ndizo pekee zinazoitia hofu Israel

    Hamas: Silaha za muqawama ndizo pekee zinazoitia hofu Israel

    Nov 17, 2019 23:03

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, silaha za muqawama ndizo pekee zinazodhamini usalama wa taifa la Palestina na kuilazimisha Israel ibaki kwenye makubaliano ya kusimamisha vita.

  • Wazayuni waendelea kushambulia Ghaza licha ya makubaliano ya kusitisha vita

    Wazayuni waendelea kushambulia Ghaza licha ya makubaliano ya kusitisha vita

    Nov 16, 2019 04:22

    Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni mapema leo asubuhi zimefanya mashambulizi mengine katika Ukanda wa Ghaza licha ya Israel yenyewe kuomba usitishaji vita na wanamuqawama wa Palestina.

  • Kiongozi: Kufutwa Israel maana yake ni wamiliki wa asili wa Palestina kuweza kuchagua serikali

    Kiongozi: Kufutwa Israel maana yake ni wamiliki wa asili wa Palestina kuweza kuchagua serikali

    Nov 15, 2019 10:23

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kufutwa Israel kuna maana ya kuondolewa utawala bandia wa Kizayuni na mahala pake kuchukuliwa na serikali iliyochaguliwa na wamiliki wa asili wa Palestina ambao ni Waislamu, Wakristo na Mayahudi.

  • Wanafunzi sita wa Palestina wauawa shahidi katika hujuma za utawala wa Kizayuni

    Wanafunzi sita wa Palestina wauawa shahidi katika hujuma za utawala wa Kizayuni

    Nov 15, 2019 10:21

    Wizara ya Elimu ya Palestina imetangaza kuwa, wanafunzi sita Wapalestina wameuawa shahidi kufuatia hujuma za hivi karibuni za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza.

  • Wanamuqawama wa Palestina wasitisha vita baada ya Israel kukubali masharti yao

    Wanamuqawama wa Palestina wasitisha vita baada ya Israel kukubali masharti yao

    Nov 14, 2019 04:33

    Baada ya utawala haramu wa Kizayuni kukubali masharti ya wanamuqawama wa Palestina, makundi ya Kipalestina ikiwemo Harakati ya Jihadul-Islami yamekubali pendekezo la Misri kwa ajili ya kusimamisha vita.

  • Tawi la kijeshi la Jihadul-Islami lashambulia mkusanyiko wa askari wa utawala wa Kizayuni

    Tawi la kijeshi la Jihadul-Islami lashambulia mkusanyiko wa askari wa utawala wa Kizayuni

    Nov 13, 2019 04:39

    Wanamuqawama wa tawi la Al-Quds la Harakati ya Jihadul-Islami la Palestina, wameshambulia kwa kombora mkusanyiko wa askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika eneo la mashariki mwa Rafah.

  • Idadi ya askari wanaokimbia kuhudumu jeshini Israel yaongezeka

    Idadi ya askari wanaokimbia kuhudumu jeshini Israel yaongezeka

    Nov 09, 2019 04:22

    Idadi ya askari wanaokimbia kuhudumu ndani ya jeshi la utawala haramu wa Kizayuni Israel, imezidi kuongezeka huku suala la matatizo ya kisaikolojia likitajwa kuwa ndio sababu.

  • Hamas yalaani nchi za Kiarabu zinazopigania kuwa na uhusiano na Israel

    Hamas yalaani nchi za Kiarabu zinazopigania kuwa na uhusiano na Israel

    Oct 30, 2019 10:24

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imezilaani nchi za Kiarabu ambazo zinapigania kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

  • Harakati ya kimataifa ya kupinga mateso dhidi ya mateka wa Kipalestina yaanzishwa

    Harakati ya kimataifa ya kupinga mateso dhidi ya mateka wa Kipalestina yaanzishwa

    Oct 24, 2019 23:20

    Zaidi ya taasisi na jumuiya 40 za Kipalestina na kimataifa zimeanzisha harakati ya kupinga mateso na unyanyasaji unaofanywa na maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela na korokoro za utawala huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS