-
Makundi ya muqawama Palestina yaonya kuhusu hatua za Israel dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa
Oct 21, 2019 08:57Makundi ya wanamuqawama wa Palestina yametoa onyo kwa hatua za utawala haramu wa Israel dhidi ya msikiti mtakatifu wa al-Aqswa kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Marekani yaongeza misaada ya kijeshi kwa utawala utendao jinai wa Israel
Oct 21, 2019 04:38Marekani imeongeza msaada wa kijeshi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel ambao unaendelea kutenda jinai dhidi ya Wapalestina.
-
HAMAS yalaani utawala wa Kizayuni wa Israel kushirikishwa katika mkutano wa Bahrain
Oct 20, 2019 23:09Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani vikali kualikwa na kushirikishwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika mkutano wa usalama wa baharini unaotazamiwa kufanyika nchini Bahrain, ikisisitiza kwamba hatua hiyo inakinzana na misimamo ya umma wa Waarabu.
-
Jordan yatupilia mbali madai ya Israel ya kutaka kurefusha muda wa udhibiti wa ardhi za Baqora na Ghamra
Oct 17, 2019 10:19Wizara ya Mambo ya Nje ya Jordan imetangaza habari ya kutupilia mbali madai ya vyombo vya habari vya utawala haramu wa Kizayuni kwamba serikali ya Amman imeukubalia utawala huo kuendelea kukodi ardhi za maeneo ya Baqora na Ghamra.
-
Mbunge wa Palestina: Utawala wa Kizayuni unaendelea kuiyahudisha Quds
Oct 11, 2019 04:19Mbunge anayeuwakilisha mji wa Quds katika bunge la Palestina amesema kuwa utawala wa Kizayuni unaendelea kutekeleza mipango yake iliyoikusudia kwa malengo maalumu na inastafidi na kushughulishwa Umma wa Kiislamu na Kiarabu na masuala yake ya ndani ili kusogeza mbele mipango yake hiyo.
-
Hizbullah: Hatutosalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani
Oct 10, 2019 08:37Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa vikwazo vya Marekani haviwezi kudhoofisha imani na ahadi yake ya kulinda nchi na raia.
-
HAMAS: Dunia ikabiliane na uvunjiaji heshima yanayofanyiwa matukufu ya Kiislamu na Kikristo Palestina
Oct 10, 2019 04:20Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetoa taarifa ya kuitaka Jamii ya Kimataifa ichukue hatua kukabiliana na uvunjaji heshima unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya matukufu ya Kiislamu na Kikristo katika ardhi ya Palestina.
-
Aoun atetea oparesheni ya Hizbullah dhidi ya utawala wa Kizayuni
Oct 02, 2019 04:35Rais wa Lebanon amekutana na Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Lebanon na kutetea oparesheni iliyofanywa na harakati ya Hizbullah ya nchi hiyo dhidi ya chokochoko za utawala wa Kizayuni.
-
Walowezi 200 wa Kizayuni wavamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Sep 29, 2019 09:49Walowezi wapatao 200 leo wamevamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa wakiitikia wito wa makuhani wa utawala ghasibu wa Israel huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Hizbullah: Muqawama una haki ya kujibu uchokozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel
Sep 27, 2019 08:55Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, ni haki ya wanamapambano na wanamuqawama kutoa jibu dhidi ya uchokozi wa aina yoyote ile wa adui Mzayuni.