-
Hizbullah: Tawala za nchi za Kiarabu ndizo zinazobeba dhima ya matatizo ya umma wa Kiislamu
Sep 25, 2019 04:18Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, kushindwa tawala za nchi za Kiarabu kutekeleza majukumu yao ndiyo sababu ya kupata matatizo umma wa Kiislamu na kuendelea kuwepo utawala pandikizi wa Israel katika eneo hili.
-
Wamorocco wakasirishwa na kupeperushwa bendera ya Israel nchini kwao
Sep 24, 2019 08:42Safari ya ujumbe wa utawala haramu wa Israel ukiongozwa na mmoja wa viongozi wa chama cha Likud nchini Morocco na kupeperushwa bendera ya utawala huo kusini mashariki mwa nchi hiyo, kumezua malalamiko ya Wamorocco.
-
Rais Rouhani: Kuweko mifarakano katika eneo, ndilo takwa la Marekani na Uzayuni
Sep 22, 2019 09:27Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuweko mifarakano baina ya mataifa ya Mashariki ya Kati ndilo takwa la Marekani na Uzayuni.
-
Mayahudi wa Afrika Kusini waususia kitaaluma utawala wa Kizayuni
Sep 18, 2019 20:55Karibu wasomi 70 wa Kiyahudi wa nchini Afrika Kusini wameususia kitaaluma utawala ghasibu wa Kizayuni.
-
Hamas yatoa radiamali kwa uchaguzi wa utawala wa Kizayuni
Sep 18, 2019 20:54Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa kufanyika uchaguzi wa bunge la Israel hakutaleta mabadiliko yoyote katika mwenendo wa muqawama wa Wapalestina.
-
Mgombea urais nchini Tunisia apinga uhusiano wa aina yoyote na Israel
Sep 17, 2019 07:51Watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tunisia, wameeneza video ya mgombea urais katika uchaguzi wa sasa nchini humo ambaye ameelezea kupinga kuboreshwa uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wazayuni watishia kuushambulia Ukanda wa Ghaza kabla ya uchaguzi wa bunge
Sep 15, 2019 22:08Waziri wa Usalama wa Ndani wa utawala wa Kizayuni wa Israel ameitishia kuwa eneo la Ghaza litashambuliwa kabla ya kufanyika uchaguzi wa bunge la utawala huo siku ya Jumanne.
-
Wabunge Uingereza: Boris Johnson atoe jibu kali kwa ahadi za kivamizi za Netanyahu
Sep 14, 2019 22:05Jumla ya wabunge 108 nchini Uingereza wamemwandikia barua Boris Johnson, Waziri Mkuu wa nchi hiyo wakiitaka serikali yake itoe jibu kali kwa kauli aliyotoa Waziri Mkuu wa Utawala Haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu ya kuyaunganisha baadhi ya maeneo ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo ghasibu.
-
Netanyahu atimua mbio kuelekea mafichoni akikwepa makombora ya wanamuqawama
Sep 11, 2019 07:53Vyombo vya habari vya utawala haramu wa Kizayuni, vimeripoti habari ya kutimua mbio Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo, kufuatia kuvurumishwa na wanamuqawama wa Ukanda wa Gaza makombora yaliyovilenga vitongoji vya walowezi wa utawala huo.
-
Nguvu za Muqawama katika maneno na vitendo
Sep 11, 2019 02:39Mikwaruzano baina ya kambi ya muqawama na utawala wa Kizayuni wa Israel imezidi kuwa mikubwa katika miezi ya hivi karibuni huku makundi ya muqawama yakizidi kuonesha nguvu zao kupitia maneno na vitendo dhidi ya utawala huo pandikizi.