-
Mwaka 2019 na kujiondoka Marekani na Israel katika shirika la UNESCO
Jan 09, 2019 05:18Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel tarehe Mosi mwezi huu wa Januari 2019 zilijiondoa rasmi katika Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) zikilalamikia kile kilichotajwa ni mwelekeo wa jumuiya hiyo dhidi ya Israel.
-
Lebanon: Ugaidi wa ukufurishaji na ugaidi wa Israel hatima yao ni moja
Jan 08, 2019 11:18Mkuu wa Usalama wa Umma nchini Lebanon amesema, hakuna tofauti kati ya ugaidi wa ukufurishaji na ugaidi utawala wa Kizayuni wa Israel, na akasisitiza kwamba ugaidi wa Israel, kama zilivyo aina nyingine za ugaidi, nao pia uko katika hali ya kutokomea.
-
Wapalestina washiriki kwenye Ijumaa ya 41 ya maandamano ya "Haki ya Kurejea"
Jan 04, 2019 23:11Maandamano ya 41 ya kila Ijumaa ya "Haki ya Kurejea" yalifanyika jana katika mpaka wa Ukanda wa Gaza, Palestina inayokaliwa kwa mabavu kwa anuani ya "Muqawama Dhidi ya Kuanzisha Uhusiano wa Kawaida."
-
Utawala wa Kizayuni unapanga njama ya kuzima sauti ya adhana Baitul Muqaddas Mashariki
Jan 02, 2019 23:41Televisheni ya utawala wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuwa manispaa ya utawala huo haramu katika eneo la Baitul Muqaddas Mashariki (East Jerusalem) ina mpango wa kuzuia sauti ya adhana isisikike katika misikiti ya eneo hilo la Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Vyombo vya habari vya Kizayuni: Msimu wa Machipuo wa Syria umewadia
Dec 31, 2018 03:23Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimekiri kuwa Syria na rais wa nchi hiyo Bashar al-Assad wameibuka washindi dhidi ya njama za nchi za Kiarabu na za Magharibi na kutangaza kuwa msimu wa machipuo wa Syria umewadia.
-
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Palestina yalalamikia kuendelea kuchimbwa mashimo chini ya Masjid al-Aqswa
Dec 30, 2018 23:13Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetoa taarifa ikitaka kufanyike uchunguzi wa kimataifa kuhusu uchimbaji mashimbo unaofanywa na Wazayuni chini ya Msikiti wa al-Aqswa na maeneo ya kandokando na msikiti huo.
-
Lebanon kuishtaki Israel Baraza la Usalama la UN
Dec 27, 2018 03:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon amemtaka mwakilishi wa kudumu wa nchi hiyo katika Umoja wa Mataifa kuwasilisha mashtaka dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Baraza la Usalama la umoja huo baada ya utawala huo kutumia anga ya Lebanon katika mashambulizi yake nchini Syria.
-
Israel kujenga vitongoji vipya vyya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina
Dec 26, 2018 03:51Utawala wa Kizayuni wa Israel umetangaza kuwa, una mpango wa kujenga vitongoji vipya vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.
-
Mkuu wa jeshi la Israel akiri wameshindwa kulinda usalama wa Wazayuni
Dec 24, 2018 04:50Mkuu wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa utawala huo umeshindwa katika miezi ya hivi karibuni kuwadhaminia usalama wao walowezi wa Kizayuni wanaishi karibu na Ukanda wa Ghaza.
-
Az-Zahar: Muqawama utaendelea mpaka utawala wa Kizayuni uangamizwe kikamilifu
Dec 23, 2018 23:19Mkuu wa mrengo wa Muqawama katika Bunge la Palestina, ameashiria mchango na nafasi ya Palestina katika mhimili wa Muqawama na kusisitiza kwamba: Inapasa uwepo uratibu kati ya muqawama wa Palestina, Syria na Lebanon ili kuangamizwa kwa Israel kuthibiti kikamilifu.