Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Watoto wa Gaza; shabaha ya mauaji ya kimbari ya utawala wa Israel

    Watoto wa Gaza; shabaha ya mauaji ya kimbari ya utawala wa Israel

    Jan 12, 2025 02:39

    Sambamba na kuendelea mashambulizi ya jeshi la Israel dhidi ya watu wa Gaza, baridi kali pia imezidisha idadi ya watoto wanaoaga dunia hasa watoto wachanga katika ukanda huo.

  • UNRWA: Utatuzi wa kadhia ya Palestina ni kuundwa nchi huru ya Palestina

    UNRWA: Utatuzi wa kadhia ya Palestina ni kuundwa nchi huru ya Palestina

    Jan 10, 2025 02:28

    Kamishna Mkuu wa Shirika la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) amesema, kuundwa kwa taifa huru la Palestina ndio suluhisho la matatizo ya eneo hilo.

  • Gazeti la Kizayuni lakiri, makombora ya Wayemeni ni hatari

    Gazeti la Kizayuni lakiri, makombora ya Wayemeni ni hatari

    Jan 07, 2025 02:43

    Gazeti la Kizayuni la Jerusalem Post limekiri kuwa makombora ya Yemen yana uwezo wa hali ya juu.

  • Wazayuni 3 waangamizwa katika oparesheni ya Ukingo wa Magharibi

    Wazayuni 3 waangamizwa katika oparesheni ya Ukingo wa Magharibi

    Jan 06, 2025 13:14

    Duru za habari zimearifu kuwa Wazayuni watatu wameangamizwa katika oparesheni iliyofanywa dhidi ya wavamiizi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa mto Jordan.

  • Yemen yawaonya Waisrael: Rudini mlikotoka kwenye nchi zenu za asili; hatutaiacha Ghaza peke yake

    Yemen yawaonya Waisrael: Rudini mlikotoka kwenye nchi zenu za asili; hatutaiacha Ghaza peke yake

    Jan 06, 2025 07:09

    Mwanachama mwandamizi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen amewashauri walowezi haramu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu waondoke katika maeneo hayo kurejea walikotoka kwa sababu Yemen haitasitisha oparesheni zake za kulipiza kisasi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Reuters ladai HAMAS imeafiki kuwaachia huru mateka 34 wa utawala wa Kizayuni

    Reuters ladai HAMAS imeafiki kuwaachia huru mateka 34 wa utawala wa Kizayuni

    Jan 06, 2025 06:39

    Shirika la habari la Reuters limedai kuwa, Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imekubali kuwaachia huru mateka 34 wa Kizayuni ambao orodha yao imetolewa na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Waziri Mkuu wa Iraq: Jenerali Soleimani alikuwa bega kwa bega na Iraq katika nyakati ngumu kabisa

    Waziri Mkuu wa Iraq: Jenerali Soleimani alikuwa bega kwa bega na Iraq katika nyakati ngumu kabisa

    Jan 06, 2025 06:20

    Waziri Mkuu wa Iraq amemsifu na kumuenzi kamanda mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kupambana na ugaidi Luteni Jenerali Shahidi Qassem Soleimani, akisema, kamanda huyo alisimama bega kwa bega na nchi hiyo ya Kiarabu katika nyakati ngumu na za changamoto kubwa zaidi.

  • Kwa siku 3 Israel yashambulia zaidi ya mara 100 Ghaza, yaua Wapalestina zaidi ya 200, wengi wao ni wanawake na watoto

    Kwa siku 3 Israel yashambulia zaidi ya mara 100 Ghaza, yaua Wapalestina zaidi ya 200, wengi wao ni wanawake na watoto

    Jan 05, 2025 14:36

    Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua Wapalestina wasiopungua 88 katika muda wa siku moja katika maeneo kadhaa ya Ukanda wa Ghaza.

  • Utawala wa Kizayuni wakiri kuuliwa wanajeshi wake zaidi ya 800 na kujiuwa wengine 28

    Utawala wa Kizayuni wakiri kuuliwa wanajeshi wake zaidi ya 800 na kujiuwa wengine 28

    Jan 05, 2025 07:39

    Ikiwa imepita siku 456 tangu Israel ianzishe vita dhidi ya Gaza, utawala huo umekiri kuhusu baadhi ya maafa na vipigo ulivyopata tangu kutekelezwa Oparesheni ya Kimbunga cha al Aqsa na wanamuqawama wa Palestina.

  • Baraza la Usalama laitisha kikao kujadili hali ya Gaza

    Baraza la Usalama laitisha kikao kujadili hali ya Gaza

    Jan 04, 2025 07:20

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeitisha kikao ambacho ajenda yake kuu ni kuchunguza mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS