-
Wanajeshi wa Kizayuni washambulia maeneo mbalimbali katika Ukingo wa Magharibi
Nov 25, 2024 13:36Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa mara nyingine tena wameshambulia maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Wapalestina kadhaa wameuawa shahidi na wengine kujeruhiwa katika hujuma hiyo ya Wazayuni.
-
Kukata tamaa kwa utawala wa Kizayuni dhidi ya makundi ya muqawama
Nov 25, 2024 04:38Licha ya uungaji mkono wa pande zote wa Ikulu ya White House kwa Tel Aviv, utawala wa Kizayuni hauna uwezo wa kukabiliana na makundi ya muqawama ya Palestina na Hizbullah ya Lebanon katika vita hivyo.
-
Jeshi la Israel linaendelea kuteketeza roho za watu wasio na hatia Ghaza na Lebanon
Nov 24, 2024 11:29Katika siku ya 416 ya vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza, utawala wa Kizayuni unaendeleza mashambulizi ya kinyama na mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo na vilevile wananchi wa maeneo mbalimbali ya Lebanon.
-
Maandamano ya watetezi wa Palestina yaendelea ulimwenguni
Nov 24, 2024 02:29Wafuasi wa wananchi na wanachuo wa Palestina katika baadhi ya nchi wametoa wito wa kukomeshwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Ghaza na Lebanon kwa mikusanyiko na maandamano.
-
Seneta wa Marekani aunga mkono hati ya ICC inayoamuru kukamatwa Netanyahu na Gallant
Nov 22, 2024 07:40Seneta wa Marekani Bernie Sanders ameunga mkono uamuzi uliotoloewa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC jana Alkhamisi wa kuamuru kukamatwa waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na waziri wa zamani wa vita wa utawala huo haramu Yoav Gallant.
-
Watu wasiopungua 36 wauawa shahidi katika hujuma ya anga ya Israel katika mji wa Palmyra, Syria
Nov 21, 2024 07:44Takriban watu 36 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya utawala wa Kizayuni katika mji wa kihistoria na kitamaduni wa Palmyra nchini Syria.
-
ٌWanajeshi 110 wa Israel wameangamizwa tangu Tel Aviv ianzishe mashambulizi ya nchi kavu dhidi ya Lebanon
Nov 21, 2024 03:48Idara yha Oparesheni ya Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon imetangaza kuwa, hadi sasa wanajeshi 110 wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa na wengine 1,050 kujeruhiwa tangu jeshi la Iutawala huol lilianzishe mashambulizi ya nchi kavu dhidi ya Lebanon, Oktoba Mosi mwaka huu.
-
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Gaza imekuwa kaburi la watoto
Nov 20, 2024 08:08Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, Ukanda wa Gaza umegeuka kuwa kaburi la watoto kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara ya utawala unaofanya mauaji ya kimbari wa Israel.
-
UNRWA: Hakuna taasisi yoyote inayoweza kujaza nafasi yetu Ghaza
Nov 19, 2024 11:10Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) amesema kuwa, hakuna taasisi yoyote inayoweza kujaza nafasi ya shirika hilo katika kuwahudumia na kuwafikishia misaada wakazi wa Ghaza.
-
Wanajeshi 30 wa Kizayuni waangamizwa kaskazini mwa Ukanda wa Gaza
Nov 19, 2024 02:44Kwa akali wanajeshi 30 wa utawala haramu wa Israel wameangamizwa na wanamuqawama kaskazini mwa Ukanda wa Gaza katika majuma ya hivi karibuni.