Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Rashida Tlaib ataka kukamatwa wahusika wa mauaji ya kimbari huko Khan Yunis

    Rashida Tlaib ataka kukamatwa wahusika wa mauaji ya kimbari huko Khan Yunis

    Jul 10, 2024 08:53

    Mwakilishi wa chama cha Democratic nchini Marekani ameiomba Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) iamuru kutiwa nguvuni wahusika wa mauaji ya kimbari huko Khan Yunis.

  • Kuendelea mvutano kati ya Waziri Mkuu na Jeshi la Kizayuni

    Kuendelea mvutano kati ya Waziri Mkuu na Jeshi la Kizayuni

    Jul 10, 2024 04:53

    Mzozo kati ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu, na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea kuongezeka huko Tel Aviv.

  • Iran: Uzayuni ni dhihirisho la ubaguzi wa rangi

    Iran: Uzayuni ni dhihirisho la ubaguzi wa rangi

    Jul 09, 2024 08:52

    Balozi na Mwakilishi wa Iran katika taasisi za kimataifa zenye makao yake mjini Geneva, Uswisi ameutaja Uzayuni kuwa dhihirisho la ubaguzi.

  • Hamas: Utawala wa Kizayuni abadan hauwezi kuwapigisha magoti Wapalestina

    Hamas: Utawala wa Kizayuni abadan hauwezi kuwapigisha magoti Wapalestina

    Jul 09, 2024 04:16

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeashiria kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina na kusema, Wazayuni kamwe hawawezi kuwapigisha magoti wananchi wa Palestina.

  • Jumanne, tarehe 9 Julai, 2024

    Jumanne, tarehe 9 Julai, 2024

    Jul 08, 2024 22:51

    Leo ni Jumanne tarehe 3 Mfunguo Nne Muharram 1446 Hijria sawa na 09 Julai mwaka 2024.

  • Iran yawalaumu vikali wanaouunga mkono utawala wa Kizayuni

    Iran yawalaumu vikali wanaouunga mkono utawala wa Kizayuni

    Jul 08, 2024 07:35

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, ni aibu kwa nchi na mtu yoyote kuunga mkono jinai za utawala wa Kizayuni huko Ghaza na aibu hiyo haitofutika milele kwenye vipaji vya nyuso zao.

  • Sayyid Nasrullah: Jinai za Israel Ghaza zimeamsha hisia za utu katika nchi za Magharibi

    Sayyid Nasrullah: Jinai za Israel Ghaza zimeamsha hisia za utu katika nchi za Magharibi

    Jul 08, 2024 07:12

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, jinai kubwa na ambazo hazijawahi kushuhudiwa mfano wake zinazofanywa na utawala katili wa Israel huko Ghaza, zimeamsha hisia za utu na ubinadamu katika nchi za Magharibi.

  • Walowezi wa Kizayuni wachoma moto mashamba ya Wapalestina huko Ramallah

    Walowezi wa Kizayuni wachoma moto mashamba ya Wapalestina huko Ramallah

    Jul 07, 2024 04:36

    Walowezi wa Kizayuni ambao kwa miaka mingi wanakalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina wameteketeza moto sehemu kubwa ya mashamba ya Wapalestina kaskazini mwa Ramallah.

  • Hizbullah ya Lebanon yalenga makao ya kuongoza operesheni za kijeshi za Utawala wa Kizayuni

    Hizbullah ya Lebanon yalenga makao ya kuongoza operesheni za kijeshi za Utawala wa Kizayuni

    Jul 06, 2024 03:08

    Hizbullah ya Lebanon ililenga makao makuu ya kamandi ya Kitengo cha 91 cha utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Kukiri kushindwa sera za Biden mkabala wa vita vya Gaza

    Kukiri kushindwa sera za Biden mkabala wa vita vya Gaza

    Jul 05, 2024 10:12

    Maafisa 12 wa serikali ya Marekani ambao wamejiuzulu nyadhifa zao wakipinga na kulalamikia vita dhidi ya Gaza wamesisitiza katika taarifa yao kuwa sera za Rais Joe Biden wa Marekan mkabala wa Gaza zimefeli, na kutahadharisha kuwa kufeli kisiasa Washington mkabala wa Gaza ni tishio kwa usalama wa taifa wa Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS