-
Hatua ya kijeshi ya Iran dhidi ya utawala wa Kizayuni; mfano halisi wa "kujitetea halali"
Apr 14, 2024 07:10Katika kujibu shambulio la utawala wa Kizayuni dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran huko Damascus, mji mkuu wa Syria, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alfajiri ya Jumapili ya leo tarehe 14 April 2024 imefanya mashambulizi ya moja kwa moja ya ndege zisizo na rubani na makombora katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Khalid Mash'al: Karibuni hivi, vita vya miezi sita vitamvunja adui Mzayuni
Apr 13, 2024 23:01Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya ughaibuni ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS Khaled Mash'al, amepongeza istiqama ya kishujaa ya Ukanda wa Ghaza na kusisitiza kuwa vita vya miezi sita wanavyopigana Wapalestina na utawala wa Kizayuni wa Israel "karibuni hivi vitamvunja adui Mzayuni".
-
Kukiri Wazayuni kuhusu uwezo mkubwa wa kistratijia wa Iran
Apr 13, 2024 22:59Viongozi wa utawala wa Kizayuni wamekiri kutokuwa na uwezo wa kukabiliana na nguvu na uwezo mkubwa wa kistratijia wa Iran.
-
Mamia ya mashirika na taasisi za kutetea haki za binadamu zataka kusitishwa uuzaji silaha kwa Israel
Apr 12, 2024 23:15Zaidi ya mashirika na taasisi 250 za kutetea haki za binadamu kutoka nchi tofauti za dunia zimetoa wito wa kusimamisha upelekaji silaha kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mauaji ya makamanda wa Muqawama na familia zao; ujumbe na matokeo yake
Apr 12, 2024 09:15Utawala wa kizayuni wa Israel umefanya jinai nyingine na kuwauwa shahidi watoto na wajukuu wa Ismail Haniyeh, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).
-
Netanyahu anataka kubadilisha uwanja wa mchezo
Apr 12, 2024 08:42Hamjambo na karibuni katiika kipindi chetu cha wiki hii cha Makala ya Wiki kinachobeba anwani: Netanyahu anataka kubadilisha uwanja wa mchezo.
-
Euro-Med: Zaidi ya Wapalestina 13,000 hawajulikani waliko tangu vilipoanza vita vya Ghaza hadi sasa
Apr 12, 2024 07:15Shirika la kutetea haki za binadamu la Euro-Mediterranean Human Rights Watch limetangaza kuwa Wapalestina zaidi ya 13,000 wametoweka na hawajulikani waliko tangu vilipoanza vita katika Ukanda wa Ghaza hadi sasa.
-
Umoja wa Mataifa wabainisha 'wasiwasi mkubwa' kuhusu Israel kuua wafanyakazi wa misaada Gaza
Apr 12, 2024 03:57Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limesema limetiwa "wasiwasi mkubwa" na shambulio la anga la hivi karibuni lililofanywa na utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza na kuua wafanyakazi saba wa shirika la misaada lenye makao yake makuu nchini Marekani.
-
Raisi: Waislamu wana wajibu wa kukomesha mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza
Apr 10, 2024 00:07Rais wa Iran, Ebrahim Raisi, amesema ni wajibu wa kibinadamu na kidini kwa nchi za Kiislamu kukomesha mauaji ya kimbari ya miezi kadhaa ya utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza.
-
Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran: Jinai za Israel Ukanda wa Gaza ni mauaji ya kimbari
Apr 09, 2024 04:27Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran amesema kuwa jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Ukanda wa Gaza ni mauaji ya kimbari.