Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Maghasibu wameshambulia maeneo 200 ya Ghaza katika siku 2

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Maghasibu wameshambulia maeneo 200 ya Ghaza katika siku 2

    May 11, 2023 08:00

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameeleza kuwa maghasibu wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika muda wa siku mbili wameshambulia maeneo 200 ya Ukanda wa Ghaza na kuandika katika ukurasa wake wa Twitter kwamba: Makazi ya raia ndiyo yaliyolengwa pakubwa katika hujuma hizo za Wazayuni.

  • Jinai mpya ya baraza la mawaziri lililofeli la Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza

    Jinai mpya ya baraza la mawaziri lililofeli la Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza

    May 10, 2023 07:06

    Katika kuendeleza jinai zake, utawala wa Kizayuni wa Israel umewaua shahidi Wapalestina 13 wakiwemo makamanda watatu wa ngazi za juu wa Saraya al-Quds, tawi la kijeshi la harakati ya Jihad Islami ya Palestina katika mashambulizi kadhaa ya kigaidi kwenye maeneo ya Ukanda wa Ghaza.

  • Brigedi ya Jenin: Adui Mzayuni hatanusa harufu ya amani

    Brigedi ya Jenin: Adui Mzayuni hatanusa harufu ya amani

    May 06, 2023 03:15

    Brigedi ya Jenin yenye mfungamano na Saraya al-Quds, tawi la kijeshi la Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imetangaza kuwa, utawala ghasibu wa Israel hautaona amani, na Wazayuni watajutia waliyoyafanya.

  • Wanajeshi wa Israel washambulia Hospitali Bait Laham na Msikiti wa Al-Aqsa

    Wanajeshi wa Israel washambulia Hospitali Bait Laham na Msikiti wa Al-Aqsa

    May 01, 2023 03:53

    Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wameshambulia hospitali moja mjini Bait Laham mapema leo Jumatatu na kurusha mabomu ya kutoa machozi ndani ya hospitali hiyo.

  • Kufika Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kwenye mpaka wa Palestina kumewatia kiwewe Wazayuni

    Kufika Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kwenye mpaka wa Palestina kumewatia kiwewe Wazayuni

    Apr 30, 2023 22:45

    Viongozi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wametiwa wasiwasi na hatua ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian ya kufika kwenye mipaka ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel).

  • Maandamano ya maelfu ya Wazayuni yanaendelea katika ardhi za Palestina

    Maandamano ya maelfu ya Wazayuni yanaendelea katika ardhi za Palestina

    Apr 26, 2023 02:48

    Maelfu ya Wazayuni wameendelea na maandamano yao ya kumpinga waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu, katika miji ya Quds na Tel Aviv licha ya kuweko sherehe za miaka 75 ya kuasisiwa utawala haramu na pandikizi wa Israel.

  • Wasiwasi wa Israeli kuhusu matukio mapya ya kimkakati katika Asia Magharibi

    Wasiwasi wa Israeli kuhusu matukio mapya ya kimkakati katika Asia Magharibi

    Apr 23, 2023 13:03

    Katika wiki za hivi karibuni, kumekuwapo matukio kadhaa ya kimkakati katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) ambayo yameufanya utawala wa Kizayuni wa Israel uingiwe na wasiwasi na hofu kubwa.

  • Hizbullah: Ndoto ya Netanyahu ya kuanzisha muungano dhidi ya Iran haikuaguka

    Hizbullah: Ndoto ya Netanyahu ya kuanzisha muungano dhidi ya Iran haikuaguka

    Apr 22, 2023 09:03

    Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema: matukio ya hivi karibuni ya Palestina na eneo na milingano uliolazimishwa kuwepo na Muqawama vimezima ndoto ya Netanyahu ya kuanzisha muungano dhidi ya Iran.

  • Sheikh Kazem Seddiqi: Marekani imeshindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ndani wa Israel

    Sheikh Kazem Seddiqi: Marekani imeshindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ndani wa Israel

    Apr 21, 2023 08:13

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, licha ya Marekani kuwa na mfungamano wote na utawala haramu wa Israel lakini imeshindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ndani wa utawala huo, na hilo ni ishara ya kutokuwa na uwezo.

  • Qatar na Iran zasisitiza uhusiano wa pande mbili na kuiunga mkono Palestina

    Qatar na Iran zasisitiza uhusiano wa pande mbili na kuiunga mkono Palestina

    Apr 21, 2023 07:47

    Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuimarisha zaidi uhusiano na majirani ni katikia sera za kigeni za Tehran zinazopewa kipaumbele.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS