-
Manusura wa zilzala ya Uturuki na Syria: Tulidhani Siku ya Kiyama imewadia
Feb 07, 2023 08:35Manusura wa mitetemeko mikubwa ya ardhi ilioyakumba baadhi ya meneo ya Uturuki na Syria wametaja hali ngumu na wahka uliowapa wakati wa mitetemeko hiyo wakisema kuwa hawajawahi kukutana na hali kama hiyo licha ya kushuhidia mitetemeko kadhaa ya ardhi katika miaka ya nyuma.
-
Iran yatoa mkono wa pole kufuatia matetemeko ya ardhi yaliyoua maelfu ya watu Uturuki, Syria
Feb 06, 2023 23:34Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambirambi kwa serikali na wananchi wa Uturuki na Syria, kufuatia mitetemeko miwili mikubwa ya ardhi iliyoyakumba maeneo ya kusini mashariki mwa Uturuki na kaskazini mwa Syria.
-
Mamia wapoteza maisha katika mtetemeko mkubwa wa ardhi Uturuki, Syria + Video
Feb 06, 2023 04:36Mtemtemeko mkubwa wa ardhi umetikisa maeneo ya kusini mashariki mwa Uturuki na kaskazini mwa Syria na kuua watu wasiopungua 400 huku idadi ya waliopoteza maisha ikitazamiwa kuongezeka.
-
Amir-Abdollahian: Uhusiano wa Iran na Uturuki upo katika mkondo sahihi
Jan 17, 2023 09:45Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema uhusiano wa pande mbili wa Jamhuri ya Kiislamu na Uturuki upo katika mkondo sahihi.
-
Rais wa Uturuki aikosoa Marekani kwa kuunga mkono ugaidi Syria
Dec 13, 2022 03:37Rais Recep Tayyep Erdogan wa Uturuki amekosoa hatua ya Marekani ya kuyapa makundi ya kigaidi yaliyopo kaskazini mwa Syria msaada wa fedha na silaha.
-
Erdogan anawania uchaguzi wa rais kwa mara ya mwisho
Dec 11, 2022 04:25Rais Recep Tayyep Erdogan wa Uturuki amesema kuwa kwa mara ya mwisho atagombea kiti cha rais katika uchaguzi wa mwaka kesho 2023.
-
Bunge la Waarabu lalaani hatua ya Uturuki ya kuwakatia maji raia milioni moja wa Syria
Nov 22, 2022 07:55Muungano wa Mabunge ya Nchi za Kiarabu umelaani hatua ya Uturuki ya kuwakatia maji raia zaidi ya milioni moja wa Syria katika mkoa wa al-Hasakah.
-
Lavrov asisitiza kushirikiana na Iran, China, Uturuki na India
Nov 18, 2022 23:00Sergei Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia jana Ijumaa alisisitiza kuwa kuna umuhimu Moscow kushirikiana na Tehran, Beijing, Ankara, New Delhi na nchi nyingine za pambizoni mwa bahari ya Kaspi.
-
Uturuki na Libya zasaini mikataba miwili ya ushirikiano wa kijeshi
Oct 26, 2022 09:27Maafisa wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya na wa Uturuki wametia saini mikataba miwili ya ushirikiano wa kijeshi mjini Istanbul.
-
Iran: Ulimwengu wa Kiislamu unakabiliwa na ugaidi wa vyombo vya habari
Oct 23, 2022 09:20Waziri wa Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu wa Iran amesema, vyombo vya habari vyenye uadui vinapindua ukweli na kuandaa habari bandia ili kujaribu kutoa taswira isiyo sahihi kuhusu Iran ya Kiislamu na Ulimwengu wa Kiislamu.