-
Faisal al-Miqdad: Erdoğan anataka kusambaza magaidi kaskazini ya Syria
Jun 16, 2022 23:13Waziri wa mambo ya nje wa Syria amesema, lengo la rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki la kuanzisha ukanda wa usalama kaskazini ya Syria ni kuweka magaidi katika eneo hilo.
-
Jihadul-Islamu ya Palestina yalaani vikali safari ya waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Israel
May 26, 2022 22:03Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imelaani vikali safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) na kukutana na viongozi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Uturuki yazidi kustawisha uhusiano na Israel, waziri wake wa mambo ya nje awasili Tel Aviv
May 25, 2022 06:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu amewasili uwanja wa ndege wa Ben Gurion mjini Tel Aviv katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Uturuki yaendeleza kampeni ya kutia nguvuni wahajiri
May 08, 2022 21:51Serikali ya Uturuki imewatia nguvuni wahajiri wengine 232 katika mji wa Istanbul ukiwa ni mwendelezo wa kampeni ya kamatakamata dhidi ya wahamiaji.
-
Kukabidhiwa Saudi Arabia faili la mauaji ya kigaidi ya Khashoggi
Apr 08, 2022 21:54Huku mzozo wa kiuchumi wa serikali ya Ankara na changamoto za kifedha zikizidi kuongezeka, matatizo ya maisha ya watu wa Uturuki hatimaye yameipelekea serikali ya Recep Tayyip Erdogan kwa mara nyingine tena kushirikiana na utawala haramu wa Israel, Marekani, Misri na tawala nyingine vibaraka za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi.
-
Uturuki yatangaza kusimamisha kesi ya Wasaudia 'waliomuua' Khashoggi
Apr 07, 2022 22:17Mahakama moja nchini Uturuki imesimamisha kesi dhidi ya raia 26 wa Saudi Arabia wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa gazeti la Washington Post, na mkosoaji mkubwa wa utawala wa Aal-Saud, Jamal Khashoggi, mwaka 2018.
-
Uturuki yalegeza kamba, yataka kufungwa faili la mauaji ya Khashoggi
Mar 31, 2022 22:56Mwendesha Mashitaka wa Uturuki ameiomba mahakama ya nchi hiyo isimamishe kesi dhidi ya raia 26 wa Saudi Arabia wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Washington Post, na mkosoaji mkubwa wa utawala wa Aal-Saud, Jamal Khashoggi, mwaka 2018.
-
Kuendelea uchokozi na uvamizi wa Uturuki dhidi ya ardhi za Syria na Iraq
Mar 28, 2022 20:55Sera za nje za serikali ya Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki katika suala la uhusiano wa nchi hiyo na nchi zingine za eneo na dunia kwa ujumla ni za kutafakariwa mno kwa sababu haifahamiki ni malengo gani hasa wanayofuatilia viongozi wa Ankara.
-
Waturuki wabeba picha za Shahidi Soleimani wakiandamana dhidi ya Israel
Mar 12, 2022 09:54Wananchi wa Uturuki jana Ijumaa, kwa mara nyingine tena walimiminika mabarabarani katika maandamano ya kulaani ziara tata ya rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel nchini mwao.
-
Waturuki wachoma moto bendera za Wazayuni kulaani safari ya Rais wa Israel
Mar 10, 2022 00:40Wananchi wa Uturuki wamefanya maandamano makubwa ya kupinga na kulaani safari ya Isaac Herzog, rais wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel nchini humo.