-
Onyo la Lavrov kuhusu uwepo wa mamluki 2000 wa kitakfiri huko Karabakh
Nov 05, 2020 00:28Russia daima imekuwa ikitahadharisha kuhusu hatari ya uwepo wa makundi ya kigaidi yenye misimamo ya kupindukia mpaka katika nchi hiyo na nchi nyingine za Caucasia na Asia ya Kati na kusisitiza udharura wa kupambana na makundi hayo.
-
Erdogan: Dunia ipige vita uadui dhidi ya Uislamu sawa ilivyo katika suala la kupiga vita Uyahudi
Nov 02, 2020 23:15Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki ameitaka dunia ijifunze na kupata somo na ibra kutokana na uzembe wa jamii ya kimataifa iliyoacha kuzuia mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Bosnia Herzegovina na kusisitiza kuwa, dunia inapaswa kupiga marufuku na kupambana na chuki na uhasama dhidi ya Uislamu kama ilivyopambana na chuki dhidi ya Uyahudi baada ya Holocaust (yanayodaiwa kuwa mauaji ya Mayahudi wakati wa Vita vya Pili vya Dunia).
-
Waliouawa katika zilzala ya Izmir, Uturuki wapindukia 50
Nov 02, 2020 00:59Idadi ya watu waliopoteza maisha kwenye maafa ya tetemeko la ardhi lililotokea mjini Izmir nchini Uturuki imeripotiwa kufika 51, huku timu za uokoaji zikiendelea kutafuta manusura na maiti zilizokwama chini ya vifusi vya nyumba na majengo yaliyobomolewa na zilzala hiyo.
-
Radiamali ya kindumakuwili ya Ufaransa kufuatia malalamiko ya Waislamu duniani
Oct 28, 2020 04:11Waislamu duniani kote wamekasirishwa na kushadidi vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa hasa cha kuchapishwa tena katuni zinazomvunjia heshima Mtume Muhammad SAW. Hasira za Waislamu zimeongezeka maradufu baada ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kutetea vitendo hivyo vya chuki dhidi ya Uislamu kwa kisingizo cha uhuru wa maoni.
-
Erdogan: Bidhaa za Ufaransa zisusiwe... viongozi wa sasa wa Ulaya ni Manazi na Mafashisti
Oct 27, 2020 03:54Wakati mtifuano wa kisiasa baina ya Ufaransa na Uturuki ukiwa unaendelea baada ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kutoa matamshi ya kuyavunjia heshima matukufu ya Kiislamu na Waislamu, Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki ametoa mwito wa kususiwa bidhaa za Ufaransa.
-
Mvutano mpya baina ya Ufaransa na Uturuki baada ya Paris kuendeleza hujuma dhidi ya Uislamu
Oct 26, 2020 05:04Uhusiano wa nchi mbili za Ufaransa na Uturuki umekumbwa na miivutano mingi katika miezi ya karibu kutokana na kuhitilafiana katika masuala kadhaa zikiwemo harakati za Uturuki huko Mashariki mwa Bahari ya Mediterania.
-
Erdogan: Rais wa Ufaransa apimwe uwezo wake wa kiakili baada ya matamshi yake dhidi ya Waislamu
Oct 25, 2020 09:21Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema kuwa Rais wa Ufaransa, Emanue Macron, anahitaji kupimwa uwezo wake wa kiakili baada ya matamshi ya kibaguzi aliyotoa karibuni kuhusu dini ya Uislamu.
-
Jengo la kale la miaka elfu moja iliyopita la mjini Istanbul, Uturuki lageuzwa msikiti
Oct 17, 2020 01:00Jengo la kale la tangu miaka elfu moja lililoko kwenye upande wa Ulaya wa mji wa Istanbul nchini Uturuki limegeuzwa tena kuwa msikiti.
-
Taathira hasi za kuendelea vita eneo la kusini mwa Kavkazia
Oct 08, 2020 23:06Kwa kuendelea mapigano baina ya Jamhuri ya Azeribaijan na Armenia, hivi sasa pande hasimu katika vita zimepanua wigo kutoka ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kuingia katika maeneo yenye umuhimu wa kiuchumi.
-
Uturuki: Ankara itaendelea kuisaidia serikali ya GNA Libya hata baada ya Sarraj kung'atuka
Sep 21, 2020 23:11Uturuki imetangaza kuwa itaendelea kuiunga mkono serikali inayotambuliwa kimataifa ya Libya licha ya Waziri Mkuu Fayez al-Sarraj kutangaza wiki iliyopita kwamba, anapanga kuondoka madarakani mwishoni mwa mwezi ujao.